witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,772
Mbona KE ni kiumbe kinyenyekevu mkuu?Wanawake bwana, yani mwanaume ndio ana wajibu wa kujishusha, mwanamke hapana?
Tatizo M/Mme anachukulia poa!
Nikufundishe kitu kama hutojali:
Kama demu unampenda hasa na yeye ukahisi anakupenda usichukulie ule uhusiano so simple, we mpende kweli, mjali, mle vizuri....hata siku anajifanya kakumwaga ni lazima fasta arudi tu, mark my words
NB: wanawake wanapenda sana wanaume wanaocare hata kama me una kibamia au hujui mapenzi!