Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,967
Habari ya mwaka mpya.

Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Wanawake sio watu wa kuamini 100%. Mara nyingi nimekua nikiwahusia vijana na wanaume wenzangu humu kua wanawake sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.

Wanawake wanaweza kuamua jambo lolote wakati wowote.

Juzi tarehe 1 nilikua na kidem changu kimoja, kimetoka tu kanisani kikanipigia kua kiko free kama nina nafasi naweza kuonana nae, basi nikamuelekeza lodge moja akafika, nikamtafuna vizuri tu na hatukua na tofauti zozote, ghafla jioni yake ananitumia ujumbe kua hanitaki na nisimtafte tena, nikashangaa sana, mbona huyu hatukua na shida yoyote, tulikua kwenye good terms ila ghafla nikapata notice ya kuachwa. Nikasema hakuna tabu.

Jana asubuhi nikampigia mpenzi wangu mwingine, kama ilivyo kawaida kabla sijaenda job, baada ya kusalimiana akaniambia anahitaji nimpe muda, anahitaji muda zaidi kuangalia maisha yake, hatukua na mgogoro wowote na wala hajawahi kunihisi kwa namna yoyote ile kua nachepuka.

Siku ya tarehe moja karbu siku nzima alikua ananipigia sim, ananitumia pics mahala alipo, ananipa sim naongea na wadogo zake nk nk. Ghafla jana ananiambia nimpe muda kwanza na kwamba hana mtu zaidi yangu ila anataka nimpe muda, nikashangaa, nilivyojaribu kuchart nae mara moja mbili akaniblock, nikampihia akasema namsumbua nimtafte baadae. Just imagine huyu mwanamke angalau ndio nilikua nafikiria mwezi April mwaka huu niende kwao lakini anasisitiza kabisa kua nimpe muda. Nimemtupilia mbali.

Anyway, nika cases nyingi za namna hiyo za wanawake, kweli wengine unakuta hawana michepuko na wengine unakuta ameshapata mwanaume mwingine lakini nawakumbusha tu wanaume wenzangu, mwanamke sio mtu wa kumuamini 100%, ni sawa na masai sio wa kumuwekea dhamana, atakimbia tu siku moja.

Suluhisho ambalo mimi hua linanisaidia ni kua na idadi ya wanawake wengi kwenye stock, akichomoka mmoja bado wengine wapo kwa ajili ya back up. Pia hua sipendi mwanamke hata kidogo, naweza kufake love kwa muda wote ila sio kua na real love. Niligundua falling in love with a woman is like commiting a suicide.

Huko nyuma nilikua muaminifu sana ila yakawa yananitokea kama hayo, nilivyogundua akili ya wanawake ikoje sijawahi tena kupata shida.

Wanaume wenzangu, kuweni makini na wanawake, sio watu wa kuwaamini 100% na kuwapa moyo wako.
 
Usilamu mwanamke huyo,, jilaumu we ,,na hakikisha unajitahidi kua mwanamme Wa thamani.

Ukiona mwanamke amekupa hayo majib nisababu **Haioni future yake ndani yenu**

Kwaufupi we nimtumiaji tuuu tena unayependa bure.....

Dem Wa lodge ...wewe umegonga lkn hukumpa hata kiela cha kufurahia mwaka mpya au hata kizawadi kwa kutambua mchangonwake ..hamna, Lazima ublokiwe.

Demu wakwanza na wapili hawa japokua ushawagegeda ,,nimabint ,wanaakili ,wamegundua we unawapotezea muda.
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
 
Una wapa hela? Kama huwapi ndio shida hiyo we ugegede burebure tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] (joke)

Ni mwendo wa ku fake love nao waendelee na drama ngoma droo
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
 
Tatizo lenu mnatafuta wanawake wenye mapepo,mtu mwwnye mapepo anawezafanya lolote wakati wowote tens usishangae wengine akakutafuta mwenyewe kuwa anataka alafu mkiwa ndani anakataa tena..
Achaneni na hao wenye mashetani...tulieni mpate wake wazuri.
Asante kwa kuumizwa
 
Sijawahi onaa ushauri Mbovuu kama huuuu hapa JF...!! Concontrate na mkee tuu sio videmu hivii... yanii mr kuwa demu mmoja boraa nisiwee naeee... Stock haiwezi pungua Wa4 na hata wakiondoka wa3 me sijawahi bembelezaa...Akili ya mwanamke kamwe siji kuilaumu aiseee ni ZEROOOOO japo nina mama na dada zangu...
Hata Mama yako anamsumbuwa Baba yako kuliko anavyokuchekea wewe mtoto wake... Kuwa Uyaone
 
Hapo pa kuwa na wanawake wengi ndo unaharibu na wala hapakujengi.

Relationships huwa zinatufundisha mengi, zinatukosoa na kuujenga tukawa watu bora zaidi katika mahusiano yajayo.

Chagua mwanamke mmoja. Concentrate on her. Give her your all. Fight for your relationship. Hakikisha unajua A to Z ya mahusiano yenu. Nini anapenda, nini hapendi. Ujue udhaifu wako, na jinsi gani unakabiliana nao ili uhusiano uweze kusogea mbele.

Usiwe mtu wa kugive up kirahisi especially kama unampenda mwanamke na una malengo nae.

We women are complicated. We carry alot of weight on our shoulders and in our hearts. Ukute wanapokuambia they need time away, ni kwa ajili ya pressure za maisha na wanahitaji kweli kupumua na sio kuachana tu.

Hapo sasa ndo unaonyesha mapenzi kwa kumtoa out dinner ama movies, massage and believe me akisha relax, ataweza kuondoa uzito moyoni.

Come on man. No quitting.
Hizo pressure za muda zinaisha baada ya wewe kukaa pembeni? Kwani tukiwa wote ndio pressure inakua kubwa?
 
Back
Top Bottom