Wanawake acheni roho mbaya

Wanawake acheni roho mbaya

wakuu jamaa hapa kaja kuomba ushauli na sidhani kama analalamika, but wadada bhana hata hawafikilii kidogo kama wao wako wengii hata wanaume wakiamua kugawana wanawake wawili wawili still watabaki tu

Mkuu cha msingi mi nakushaurii we mtafute best yake au rafiki yake kabisa then tongozaa huyoo mi nahsi kidogo maumivu kiasi chake na atatafuta njia ya kuomba msamaha [emoji15] [emoji15]

*simba kala simba hiyoo
 
wakuu jamaa hapa kaja kuomba ushauli na sidhani kama analalamika, but wadada bhana hata hawafikilii kidogo kama wao wako wengii hata wanaume wakiamua kugawana wanawake wawili wawili still watabaki tu

Mkuu cha msingi mi nakushaurii we mtafute best yake au rafiki yake kabisa then tongozaa huyoo mi nahsi kidogo maumivu kiasi chake na atatafuta njia ya kuombas

*simba kala simba hiyoo
Poa poa Mkuu.
 
[IMG Kumsaidia mtu unayempenda siyo mbaya Mkuu. [/IMG]

Sijasema usimsaide mtu unaempenda, lakini msaada wako haulazimishi na yeye akupende

[IMG Pia kupenda hakuchagui sijui mpaka mkae miaka mitano wala nini. [/IMG]

Sawa kupenda hakuchagui kukaa miaka mitano wala nini, lakini busara inataka ujue kama na wewe unapendwa, tabia zake kama zinaendana na uzitakazo na vle vle kama ametulia au laa.. kuyajua haya yanachukua muda..

Bali penzi huchanua muda wowote na popote bila kuangalia muda, sehemu na umri /IMG]

La kwako sasa limechanua au limechanuliwa Mkuu..?[emoji12] [emoji12]
 
Mnakurupuka sana ninyi vijana wa siku hiz

Inapaswa angalau ujue saikologia ya mwanamke usipojua yatakayokupata utalia sana na unaweza kujiua kwa ujinga.
Kwanza elewa mwanamke anaendeshwa na tamaa hivo kutamani kwake hubadilika kila mara kutokana na hormones zake zinavobadilika kwa sabab hiyo usimpende mwanamke kwa moyo wako
Unapofanya jambo kwa mwanamke hesabu ni sadaka wala hutaumia.
Usimfanyie jambo ukatamn kulipwa ujue wanawake wanamtu wa kumuoa anamtu ATM. Anamtu wa out
Wewe ulikuwa ATM kazi yako imeisha
 
Siyo kukurupuka mkuu.

Moyo wa mtu kichaka mkuu.

Huwezi jua aliwazalo.
 
Kuna mwenzako naye kashalidanganya kapanda dau kidogo anajilia. Hovyo sana hawa watu.
 
Siyo kukurupuka mkuu.

Moyo wa mtu kichaka mkuu.

Huwezi jua aliwazalo.
Ukiwa na mawazo hayo maana yake hujakurupuka na sasa huwezi huzunika sana baada ya kuwekwa bench

Ila ukiumia mpaka dededede
Bas wewe ulikurupuka
 
Ukiwa na mawazo hayo maana yake hujakurupuka na sasa huwezi huzunika sana baada ya kuwekwa bench

Ila ukiumia mpaka dededede
Bas wewe ulikurupuka
Maumivu hutegemea mtu na mtu Mkuu.

Kwa uzoefu nilionao siwezi kuumia kihivyo ila namhurumia sana.

Maana kwa style hiyo sehemu zake za siri zitachakazwa sana.
 
Pole sana mkuu, kwakweli huwa nawashangaa sana wanawake wenzangu. Km mtu humtaki jamani bora tu umwambie kuwa haya mahusiano ni for leisure tu. Hapo kila mtu anakaa anajua hapo hakuna Future na km ataamua kukusaidia mambo makubwa anakusaidia ila anajua kbs hapa sina changu.
Kwakweli inaumiza sana kumpa mtu matumaini makubwa ilihali unajua kbs huna Future nae.
 
Maumivu hutegemea mtu na mtu Mkuu.

Kwa uzoefu nilionao siwezi kuumia kihivyo ila namhurumia sana.

Maana kwa style hiyo sehemu zake za siri zitachakazwa sana.
Utakuwa kwenye moja kati ya wanne tanzania[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanawake wa hivyo ni washenzi mno. Na ndio hasa type iliozagaa mjini siku hizi! Masela tuwe macho mno aisee na wanawake wa mjini ambao tunawekekza hisia zetu kwao....
Na ndio maana hata mi sichukuagi midemu iliokulia Dar. Inakuwaga na double standards sana.
 
Kwa hilo wanawake wanamatatizo sana. Mwanamke wakishapata alichokuwa anataka anakuwa wa tofauti sana. Na sisi wanaume tukisema tuwe maplayer wanaanza kulalamika wakati chanzo ni wao kuwa na mahusiano ya malengo badala ya kuwa na mapenzi ya kweli. Hapo sasa akose au afukuzwe kazi ataanza kukutafta tena na kusema kuwa alipitiwa na shetan. Daaaah Mungu anawaona nyie viumbe vyake
 
Kuna mambo mengine unatakiwanumfanyie mke sio mpenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom