Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

hivi nyumba kubwa haya ni maigizo tu mwache awadoboleshee wenzie baada ya kutendwa na wabongo akaenda kwa wadosi huko. yeye ana enjoy kupelekewa chai kwa b/rum mm na enjoy zaid nikimpeekea unaona enh!

mm am very free kujihudumia with my own money sihitaj kulelewa hata kidogo and am confident kwamba i can manage my life hata kama akikosa kipato leo.

Mwaaaah!!!!nimekupendaje????hayo ndo maisha my dia hakuna kitu kizuri kama kusaidiana asikudanganye mtu no body knows tomorrow..!!!!
 
Mwaaaah!!!!nimekupendaje????hayo ndo maisha my dia hakuna kitu kizuri kama kusaidiana asikudanganye mtu no body knows tomorrow..!!!!
Hata huyo Natalia anatudanganya hapa na anataka tu kuchangamsha jamvi.Yeye ndo anamtunza mumewe kama sio HE..
 
Hata huyo Natalia anatudanganya hapa na anataka tu kuchangamsha jamvi.Yeye ndo anamtunza mumewe kama sio HE..

Mtu yoyote atagundua anachosema sio kweli ni either yapo kwenye ndoto yake anatamani maisha hayo or anataka kuona watu watacomment vp kwa hicho alichosema..!!!anyways its gud kujifunza pia kwa thread yake kama kweli hongera zake ila asidanganye wengine....!!!!
 
hahahahahhahahhahah genevaaaaa!sisi pana chezeya mutoto ya forondo !wenyewe tulikuwa tunaiita 4RAWTHAN! ila mi nilikuwa wale wa mihogo ya njanoo na samaki kule sauz !uuuwih walimu unaowataja hapa wakijua walikuwa na mwanafunzi wa aina yako darasani wanaweza kulia i see dah!

Mbona mi wa forodhani lakini maskini tu, sikuona jipya pale zaidi ya kupelekwa shule na magari na kucheza mpira kwenye rami.. Masister wakija mnakimbia.. Naona hata aibu kusoma shule moja na natalia... Saiwaaad na madam simon njooni mumuone mwanafunzi wenu natalia swaga zake
 
hahahahhahahahahahah Natalia , daydreamer..........
kabla hujapigwa ban baba yako alikuwa waziri mama yako katibu mkuu bongo...

after ban baba yako kawa muwestern kiruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

mwezi ujao utasema wewe ni muaustralia....................

pole sana,

swali la kizushi, uliwahi kujigonga kwa nguvu kichwani au kogongwa kichwa na kitu chenye ncha butu? chezeya Natalia wewe

anyway ukiwa muongo usiwe msahaulifu...




Baba Angu western Africa hakai Tanzania .pole
 
Last edited by a moderator:
Mama Angu always alikuwa ananiambia she is working hard for me .mama angu anasafiri duniani halali Hakuna kikao Anamiss .ananiambia I will die working for my children .nimezaliwa 1976 mama angu Ana masters ,kwa nini niende kwa mwanaume asiyenijali hell no.

kumbe kamtu kazima kabisa, yaani nilidhani wa 90 hivi,umenizidi miaka 6 but sikujua kama bado kuna wazee wenzangu wana story za std 3, well, wazazi wote tuna pambana kwa ajili ya watoto wetu esp sisi wamama, so mama yako anachofanya si kipya kwa wamama wanaojitambua, inatofautiana uwezo tu, chaaa.
 
Hujichanganyi na wabongo kwa sababu hupendi umbea... go to hell wewe mwendawazimu kama hujichanganyi na wabongo humu JF unafanya nini?

Ah Kaka Manyanza nawe vipi? Wenzako wote humu tumepaishwa sie ni wazungu au Wawestern lol!!
Natalia kanipa burudani ya wiki kwa kweli
 
kumbe kamtu kazima kabisa, yaani nilidhani wa 90 hivi,umenizidi miaka 6 but sikujua kama bado kuna wazee wenzangu wana story za std 3, well, wazazi wote tuna pambana kwa ajili ya watoto wetu esp sisi wamama, so mama yako anachofanya si kipya kwa wamama wanaojitambua, inatofautiana uwezo tu, chaaa.

Hahahahaha nyamayao kwa hili Natalia kajichanganya ina maana anadharau hata alichokifanya mamake. Je Mamake angetumia pesa zake kwenda saluni na kujiremba yeye Natalia angetunzwa na nani? Mamake kasafiri na kufanya kazi kwa nguvu ili amsaidie Babake kumtunza yeye Natalia.
 
Mi nilivyoona threads ya greetings from natalia pale jukwaa la utambulisho nikajua kamanda natalia ametoka ban tujiandae kumwagiwa mi threads ya nguvu ya kuchangamsha jamvi..

Nazan tumeona swaga zake kitu comment page za kumwaga na bado tunaendelea kula raha na natalia..

Natalia naomba uendelee kuwaeleza kuwa choon huwa unajisaidia cake haja kubwa while kwenye haja ndogo unatoa juice.. Mi nawaambia wanabisha
 
Mbona mi wa forodhani lakini maskini tu, sikuona jipya pale zaidi ya kupelekwa shule na magari na kucheza mpira kwenye rami.. Masister wakija mnakimbia.. Naona hata aibu kusoma shule moja na natalia... Saiwaaad na madam simon njooni mumuone mwanafunzi wenu natalia swaga zake
MKATA KIU huyu anatuharibia jina la shule yetu pendwa!yani pumbav jazzz bend kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Ah Kaka Manyanza nawe vipi? Wenzako wote humu tumepaishwa sie ni wazungu au Wawestern lol!!
Natalia kanipa burudani ya wiki kwa kweli

Kule kwingine kaanzisha thread ya mwanae ni GOVINDA anataka tumshauri!!!
 
Hahahahaha nyamayao kwa hili Natalia kajichanganya ina maana anadharau hata alichokifanya mamake. Je Mamake angetumia pesa zake kwenda saluni na kujiremba yeye Natalia angetunzwa na nani? Mamake kasafiri na kufanya kazi kwa nguvu ili amsaidie Babake kumtunza yeye Natalia.


mie nahisi sio mzima huyu....
 
Aksante sasa umeniongezea na lingine, kulea, kusaidia na kuleana. Mwe! nipo katika kujaribu kumwelewa Natalia maana jana kaja na ya mume mzungu, na kuwa yeye ni an extremely understanding woman na leo anakuja na ya tusiwalee, sijui anajaribu kuleta ujumbe gani hapa!

mwi mwenyewe sijamweliewa kwani siku hizi mambo yamebadilika sana na yanazidi kubadilika kila wakati mi nafikiri huko tunakoelekea tutafikia mahali tuwekeane mkataba katika mahusiano, si unaona baadhi ya maeneo mahari ikiwa kubwa mwanamke anavyonyanyaswa, basi hata mwanamke akikubali kulelewa na mwanaume ajue anaweza kuambiwa afanye hata yale ambayo shetani hafanyi kisa kataka kulelewa. yetu majicho
 
Natalia nakubaliana na wewe
Ila jua kwamba kuna siku za mwandamo wa mwezi kabla ya tarehe sitini ambapo mambo yanaweza kuwa mabaya kwa mume
na jua kuwa kuna wakati wa kupata na kukosa
Anapokosa usimnyanyapae kuwa ni mwanaume suruali
Ndo raha ya wewe kuwepo mkisaidiana na sio kuonana kupe

umesema vema,wanandoa vema kusaidiana,na km ni mwanaume wa uhakika cku zote ataonyesha kuwajibika zaidi,so sio vby kpnd akikwama umsaidie na sio ukomae
 
Last edited by a moderator:
This is too general Natalia, hivi unafahamu wanaume tukisema tuwe kama nyie wengi wenu mtakwama sana. Ni wanawake wangapi wapo tayari kusomesha waume zao, kulea familia kubwa(baba, mama, kaka, shemeji,wadogo,shangazi) na familia yake(mume na watoto) bila kuanza kuwaita majina ya ajabu?
Mungu akikubariki mali, nafasi za kazi nzuri msaidie mhitaji, usipende kutesa moyo wa mtu...mara mwanaume suruali, Pasua kichwa....majina yote haya kwa vile hana pesa? kuweni na huruma, mbona wengine si tunawapiga kampani na tuko poa? kutoa kwa muhitaji kwafaa kwa moyo mkunjufu.................

nitamalizia kesho nimechoka na kazi

neno sana,kwani unavotoa ndo ztakavyoongezeka,ili mrad nae asikuone *****,kusaidia usaidie na bado akunyanyase,ila km ni kwa upendo ni sawa kbs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom