Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Sasa naelewa we ni mutoto ya mchungaji duh good for u bana!
 
Haha nilisomaga forodhani for 2 years tukahamia Geneva.mwl Julius ,mwakubandu enzo hizo

sijuagi kuunganisha post za mtu,ila kwa kusema mamako kutwa anaitwa fisadi na umesoma forodhani naweza kabisa kusema who are yu!ahahahahahhhahhah chezeya kitu ya mtungo wewe huwa zinazibua akili zile zikijaga kwa mpigo!😛hoto:😛hoto:😛hoto::lol:
 
Nilikuambiaje kuhusu brainless? Hebu vaa viatu vya mume mzungu and wealthy mwenye kiuno cha maana wa natalia. Wakati Paw ananisifia mke wangu kichwa hata umpe buku utakuta ugali mboga tatu (walau tembele, kabichi na utumbo wa kuku), yeye anajisifia kwa uselule!
hakuna hasara kama kula brain wakati wa kuzaliwa.
 
Umeanza wivu na wewe sasa!
Hebu nitonye, mamake ni mrs nanihii?
hii ndo mutoto na geneva long time kitambo!ahahahhahahhhah chezeya kuwa married to a WEALTH (not wealthy) educated free spirited(not spiritual hiyo unaijua wewe) men(hayo ya man utajaza mwenyewe)
halula!
 
Men needs us ,we don't need them we want them

Mh! Kama mambo yenyewe ndio haya basi dunia imekwisha na ukipata mke au mpenzi wa ukweli katika hii dunia ya leo inabidi umshukuru Mungu sana.

Eee Mola ee tusamehe sisi viumbe wako..........wata tuuwa hawa watu hawa...

 
Umeanza wivu na wewe sasa!
Hebu nitonye, mamake ni mrs nanihii?

hahahahahahah Kin'asti shosti wangu unafikiri ni wivu!huyu bibie mamake jina lake linaanza na B na la babu yake linaanza na N,ila kwa kifupi ni wa kule kule pa mfaranyaki!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, mtagomea menu mwaka huu! Na kizimbani mtaoanda. Howz miami? Nimepamisi sijawahi kaa mwezi mzima bila kuja kuosha macho huko, kufulia kubaya. Next wknd i will pop in meeeen!
mie ananiletea chai ya kubanika na mkate wa kuchemsha.
 
Hehehe. Mi sijawahi kusutwa ujue! Shauri yako, utapokonywa cheti cha fom foo. Natalia na wewe una masters kama maza ama uligrafuate geneva form four?
hahahahahahah Kin'asti shosti wangu unafikiri ni wivu!huyu bibie mamake jina lake linaanza na B na la babu yake linaanza na N,ila kwa kifupi ni wa kule kule pa mfaranyaki!
 
Last edited by a moderator:
mmmh, kumbe ni yule waliomgomea manesi wa kiume???

hahahahahahah Kin'asti shosti wangu unafikiri ni wivu!huyu bibie mamake jina lake linaanza na B na la babu yake linaanza na N,ila kwa kifupi ni wa kule kule pa mfaranyaki!
 
Last edited by a moderator:
1976 mzazi wako alikuwa wapi ,

Punguza upofu! By that time mzee alikuwa mshauri wa waziri mkuu Cleopa Msuya kwa kifupi unapata picha kuwa humu jamvini hatuhitaji majivuno ya kipuuzi kama yako ***** we! My dad, my mom so what? Kapige mswaki bana!

Umejirudika unasubiri kusema my mom, my husband, mmffffyyyuuuuuxxxx! Chukua time masters kila mtu anayo na pesa kila mtu anayo, uwe unatoka na kuzurura ndipo utajua mambo yalivyo sio kukaa kusubiri chakupewa kubwa zima la mwaka 1976 kibibi kabisa? Na wajukuu unao then you still preach my mom this my mom that! Kwenda!
 
Si Mnata Haki Sawa Ninyi?

tunataka haki lakini mwanaume anabaki kuwa mwanaume na majukumu yake na mwanamke vilevile.
haki sawa tunaitaka kwenye elimu, mirathi, na nyingine ambazo tulkua tunanyimwa kwa makusudi ili kutudidimiza
Mwanaume wa kweli halelewi ila analea........sijui weye
 
hii ndo mutoto na geneva long time kitambo!ahahahhahahhhah chezeya kuwa married to a WEALTH (not wealthy) educated free spirited(not spiritual hiyo unaijua wewe) men(hayo ya man utajaza mwenyewe)
halula!

He he he he! JF is never boring! Umemstukia kimombo chake cha Geneva?!!
 
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

Hata kudanganya hujui labda hilo jamaa lako umelipa limbwata limekuwa zezeta ndo mana cku hzi ha2oan kila m2 anajifanya kichwa ngumu bora uwe unajichukulia dada poa unakula uroda unamkatia chake afu hamjuan wala hawez cjui kukusumbua hela ya salon wala make up tena unahudumiwa mpaka kusafishwa nanihii kwa ulimi kuliko wanaojifanya vichwa ngumu wakat hamna cha ziada eti kisa una kaelimu kanakokutia wazimu ucmuheshimu bwana wako au mpenzi wako
 
Hahahahah mashostito@Kongosho na snowhite thanx 4the clue nimempata huyo maza ,kumbe naye kazaa utumbo hivi?

ahahahhahah una akili sana dogo!we unafikiri maza wa aina yake anaweza kuzaa mtoto wa aina gani!
mama fyatu yule!mume wake mpka anatia huruma!
muhimbili waloshonewa makoti kwa 500,000 @ wana hamu na mamake Natalia ahahahahahhahah pana chezeya mama mariedo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom