This is too general Natalia, hivi unafahamu wanaume tukisema tuwe kama nyie wengi wenu mtakwama sana. Ni wanawake wangapi wapo tayari kusomesha waume zao, kulea familia kubwa(baba, mama, kaka, shemeji,wadogo,shangazi) na familia yake(mume na watoto) bila kuanza kuwaita majina ya ajabu?
Mungu akikubariki mali, nafasi za kazi nzuri msaidie mhitaji, usipende kutesa moyo wa mtu...mara mwanaume suruali, Pasua kichwa....majina yote haya kwa vile hana pesa? kuweni na huruma, mbona wengine si tunawapiga kampani na tuko poa? kutoa kwa muhitaji kwafaa kwa moyo mkunjufu.................
nitamalizia kesho nimechoka na kazi