Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Ukiwa na mawazo kama hayo utakuwa lege lege...hutakuwa malengo makubwa kwenye maisha,,,

Kama wanaume wanaweza kupata position kubwa na sisi tunalalamika kukandamizwa kijinsia...mwanamke anayehitaji ela ya kujirembea tu... u CEO wa nini???? Tuwaache wenye majukumu makubwa wapewe vyeo vikubwa au???

Mimi mume wangu hata atimuliwe kazi niko tayari kuhudumia familia kwa roho nyeupe...kwani natafuta ela ya nini...kuhudumia familia hakunizuii kujiremba kwani mimi sijitofautishi na wanaume popote nilipo...I am proud to be a responsible wife.

hivi nyumba kubwa haya ni maigizo tu mwache awadoboleshee wenzie baada ya kutendwa na wabongo akaenda kwa wadosi huko. yeye ana enjoy kupelekewa chai kwa b/rum mm na enjoy zaid nikimpeekea unaona enh!

mm am very free kujihudumia with my own money sihitaj kulelewa hata kidogo and am confident kwamba i can manage my life hata kama akikosa kipato leo.
 
Last edited by a moderator:
yaani hata mie silei wala kusaidia mwanamme
nakula, kulala, kutaga, anaosha vyombo, anapika na kufua.

Yaani sasa hivi nataka hata mimba akodi mtu wa kubeba.
 
Nenda u turn wazungu kibao wanatafuta wala vumbi na wanuka vikwapa

Mi sijaongelea UZUNGU WALA USWAHILI lilinikuna mpaka kusema ana bahati ni yafuatayo

1.napikiwa chai inaletwa chumbani
2.lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea
3.anafua
4.ananiogesha
5.Anaosha gari
6.Yaani allowance 1000 dollar kwa week
7.kazi yangu shopping makeup gym na palate

Mie mwenzio sifanyiwi EITHER OF THE ABOVE ATIIII! Heri yake maandamano ya BEIJING yamejibu, anapata USAWA NA ZAIDI.

Mie kila siku naamka saa kumi, kuwahi kwa kafiri, kurudi saa tatu, hoi bin taabani, jua langu, mvua yangu wacha nimsifie. My time may come!!!!!
 
Mi sijaongelea UZUNGU WALA USWAHILI lilinikuna mpaka kusema ana bahati ni yafuatayo

1.napikiwa chai inaletwa chumbani
2.lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea
3.anafua
4.ananiogesha
5.Anaosha gari
6.Yaani allowance 1000 dollar kwa week
7.kazi yangu shopping makeup gym na palate

Mie mwenzio sifanyiwi EITHER OF THE ABOVE ATIIII! Heri yake maandamano ya BEIJING yamejibu, anapata USAWA NA ZAIDI.

Mie kila siku naamka saa kumi, kuwahi kwa kafiri, kurudi saa tatu, hoi bin taabani, jua langu, mvua yangu wacha nimsifie. My time may come!!!!!

We unaamini ya kweli hayo? Ni kufurahisha jukwaa
 
siku hizi nimeamua hata hela ya saluni sitoi, kaniwekea bili saluni, bar, gym.

Ukiruhusu mwanamme atakupanda mabegani, afu waswahili hawajui hizi treat, mambo yote muke ya Muzungu bana.
 
Heheheheh eti wanaume wa bongo wamepauka wanatoka unga shosti lara 1 watake radhi!

Mheshimiwa spika nafuta kauli!!!! Mwanaume wangu amepauka akijikuna anatoka unga tu, manake yeye mwenyewe 1000$/week na 5000$/mwezi mwenzangu hizo kwake ni shopping tu atiiii!
 
Well said Kongosho, bt ulikuwa wapi kwani tulikuwa twakutafuta kwenye kamati ya mahanjumati ya kparty ya Madame B.
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

muke ya muzungu hapana chezeya kabisa
mdogo wangu Smile and lara 1 tafuten wazungu mlepo raha kidogo lolop!
 
Last edited by a moderator:
Thanx Natalia u made my evening nimetoka kwa kafiri (source:lara 1) nimenuna kutokana na kulundikiwa miripot,bt u made me laugh!
 
Last edited by a moderator:
We unaamini ya kweli hayo? Ni kufurahisha jukwaa

100 percent mume wangu ananifanyia yote hayo.nikipika mume wangu ananiambia your so pretty to be in the kitchen your my wife I will cook.wazazi wangu wananidhamini mno.ndio maana mume wangu ananidhamini mno jamani.
 
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .

Wewe ulilelewa na nani tangu umezaliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom