Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

ahahahhahah una akili sana dogo!we unafikiri maza wa aina yake anaweza kuzaa mtoto wa aina gani!
mama fyatu yule!mume wake mpka anatia huruma!
muhimbili waloshonewa makoti kwa 500,000 @ wana hamu na mamake Natalia ahahahahahhahah pana chezeya mama mariedo.
Baba Angu western Africa hakai Tanzania .pole
 
Last edited by a moderator:
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .

napingana na wewe asilimia flani
 
Hii thread panastahili hapa jamani?

Mtazamo wangu tu!
Kama ni sawa poa tu!

Nimegundua Jf member ni kiboko kweli!
 
Dogo paul milya naona waja kwa kasi,punguza moto utageuziwa kibao ooohhhhoo!
 
Last edited by a moderator:
he he he he, mie baba yangu ana PHd, alikuwa makamu katibu mkuu UN.

Amesafiri sana duniani, hadi walimpa ofa ya kusafiri kwenda Pluto kusuluhisha mgogoro.

Yaani hadi wadoli wangu wamekatiwa insurance.

Nakuzidi kidogo tu, mie nimezaliwa 1968.

wewe Natalia kiboko yako kongosho
kongosho nimekupendajeeee
mpe huyo bint mashauzi msaga sumu
 
Last edited by a moderator:
Hehehe, mwali wewe naona umeshaanza. Mukulu ni mgeni wa kawaida kwenue eeh?
Naona kaanza kufunguka kuhusu baba pia, sijui ana masters? Ngoja nichukue chai kabisa. Natalia achana na mzungu njoo mwaya
Baba Angu western Africa hakai Tanzania .pole

Hahahahha Da King'asti na wewe huu umbeya huu sasa loh!!
Mie niko na kopo langu la popcon hapa na sprite ya kopo! Nfanyeje sasa na wakati hakuna kiingilio??

Ciello na Snowhite shauri yenu mtafungiwa passports!!
Hamjui mkulu alishakula dinner kwetu!! LOL
 
Last edited by a moderator:
He he he he, baba kamaliza UPE

Si unaona kwenye script kaandikwa kidogo sana?

Hehehe, mwali wewe naona umeshaanza. Mukulu ni mgeni wa kawaida kwenue eeh?
Naona kaanza kufunguka kuhusu baba pia, sijui ana masters? Ngoja nichukue chai kabisa. Natalia achana na mzungu njoo mwaya
 
Aksante sasa umeniongezea na lingine, kulea, kusaidia na kuleana. Mwe! nipo katika kujaribu kumwelewa Natalia maana jana kaja na ya mume mzungu, na kuwa yeye ni an extremely understanding woman na leo anakuja na ya tusiwalee, sijui anajaribu kuleta ujumbe gani hapa!
rafiki kama unataka kuwa kichaa basi jaribu kumwelewa Natalia, utaishiwa kuwa confused tu
 
@FP, naona huyu anakuhitaji kumpa some kind of basic education which she lacks. Yeye anafikiri kupanua miguu tu na kulala ndo starehe? Please enroll her in your logic class, I will pay her fees from here by fax.
Sorry Mkereketwa_Huyu, kumfundisha mtu kama huyu ni kujipotezea muda na nguvu zako. yeye kichwani kwake tayari ameshaoza. hapo anachohitaji ni miujiza tu toka kwa Mungu
 
Last edited by a moderator:
rafiki kama unataka kuwa kichaa basi jaribu kumwelewa Natalia, utaishiwa kuwa confused tu

Hahhaha Rafiki loh kwa kweli nimeondoka kidogo tu nimerudi nakuta kila kitu pindu!!

Mzima lakini? Naona umemnyoosha kiaina!
 
Hahhaha Rafiki loh kwa kweli nimeondoka kidogo tu nimerudi nakuta kila kitu pindu!!

Mzima lakini? Naona umemnyoosha kiaina!
mimi mzima rafiki yangu, hofu kwako.
unafikiri huyu anawezekana kunyooshwa? labda tupange maombi ili Mungu mwenyewe atende miujiza, lol!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom