Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

ni kwa sababu anazo,angekuwa hana? Au cku akija kuzikosa?...ahaa jbu ni unamwacha na watoto wake waenda tafuta mwingine sio?
 
Heri mimi sijasema Bla bla zozote na wala sijawahi kutega kanyoni (bird). LOL

huyu ni mtoto wa Blandina Nyoni kama uongo Natalia njoo ubishe ama tukuambie na baba yako jina lake na siku mimba yako ilipotungwa na wapi?
 
Last edited by a moderator:
huyu ni mtoto wa Blandina Nyoni kama uongo Natalia njoo ubishe ama tukuambie na baba yako jina lake na siku mimba yako ilipotungwa na wapi?

Mimi simo, ila aise nafikiri Nat is not even in her twenties, maana kama ni wa 1976; lzm uwe taahira au uwe next level msanii kuja na vituko sampuli hii.

Mnasemaje nyie mliosoma psychology?
 
Last edited by a moderator:
Mimi simo, ila aise nafikiri Nat is not even in her twenties, maana kama ni wa 1976; lzm uwe taahira au uwe next level msanii kuja na vituko sampuli hii.

Mnasemaje nyie mliosoma psychology?
yaani najua kwamba nimevunja sheria kwa kumuanaika yy ni nani but at her age she must be crazy aisee to do what she is doing. huwez ukajiexpress utajiri wako mbele za watu tena on a serious note kama hivi.ndio ni matajiri but alipaswa kubehave kama mtu mzima halafu anatuaibisha sana watu wa umri wake manake.

hivi wajua aliwah kuzalishwa huyu na mbongo? sasa sijui huyu mwanae ana mpenda ama?
 
'we don't want men who put on skirts under their trousers, if they don't want to act, let us women exchange garments with them' tuzae kwa uchungu, tutafute kwa jasho.......hii imelaaniwa hata na Mungu!
 
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .
Ee binti Natalia;Biblia inasema Mungu ameumba jambo jipya duniani;mwanamke atamlinda mwanaume[YEREMIA 31:22]. Kulea mtoto ni kumlinda.Hivyo,si dhambi kumlinda au kumlea mumeo kama mwanao;na ndio maana,mke ni mama wa wote katika familia kwa mujibu wa mila zetu !.Naomba,tuoneshe dhambi ya kulea mumeo katika Biblia,ili wakutu waacha dhambi hiyo !
 
'we don't want men who put on skirts under their trousers, if they don't want to act, let us women exchange garments with them' tuzae kwa uchungu, tutafute kwa jasho.......hii imelaaniwa hata na Mungu!
Hahaahhah Genevive nawe acha uvivu shost yaani tangu March 2011 umetuma post moja tu??? au ulisahau password loh!!
 
Duh kumbe game inaendelea mie nilistop baada ya kuhofu ban,ila msamehen nat mmemuumbua vya kutosha!
 
Sorry Mkereketwa_Huyu, kumfundisha mtu kama huyu ni kujipotezea muda na nguvu zako. yeye kichwani kwake tayari ameshaoza. hapo anachohitaji ni miujiza tu toka kwa Mungu


Indeed. You possess qualities za mwalimu ila hauna uvumilivu lakini sikulaumu kwani hata mimi nitakuwa namchapa fimbo kila siku kumfundisha jambo lilelile kumbe mtu mwenyewe kichwani hana issues.
 
Sina heshima kwa mwanaume asiyehudumia mkewe.

Sidhani kama unayo kwa yeyote yule, hata mwenye kuhudumia.

Utakachokuwa unaheshimu ni fedha zake na sio yeye mwenyewe.

Kuna ule msemo unasema ; Ukiona mwanaume amefanikiwa, basi nyuma yake kuna mwanamke wa haja, basi huyo mwanamke si wa aina yako.

Acha kumdhalilisha mama yako mzazi. Unataka tuamini kuwa alikufundisha haya kwa namna alivyokuwa anaenda kwa wanaume wengine pindi babaako alipotetereka kiuchumi? Au humjui hata baba yako?

Hili jukwaa lenu litaniponza mimi sio mpole hivyo. Kinachozungumziwa hapa ni moral p r o s t i t u t i o n. Wanawake hujifunza uvumilivu na busara za kukabili matatizo ya ndoa kwa namna wawaonavyo mama zao wakifanya. This one is said to be Liberated to such an extent utu wake upo katika mwili hususan sehemu za mahusiano ya kimwili.

Kama unafikiria kuwa mke ni suala tu la kumwagiwa liquid kwenye hako katobo then unaumwa wazimu. Kwa tafsiri hiyo wauza miili wote wangekuwa wake. Mke ni msaidizi wa mwanaume ktk kila jambo.

Ni vyema wanaume mkaangalia koo mnazooa kabla hamjajitosa. Malezi ya namna hii ni janga la maisha.
 
Indeed. You possess qualities za mwalimu ila hauna uvumilivu lakini sikulaumu kwani hata mimi nitakuwa namchapa fimbo kila siku kumfundisha jambo lilelile kumbe mtu mwenyewe kichwani hana issues.
ndugu yangu, huyu anachofanya ni kupoteza wenzake, hakuna hata moja alilonalo kati ya anayoyasema, wewe msome tu utamwelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom