HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,316
- 103,577
Jamani huyu mdada anajikweza tu eti nini millions of dollars to inherit kha! Jamani umelogwaaaa?
Acha kujisifia weka jin lako la ukweli tusearch kama ni ww kweli sio mama ana masters hii kitu gani mbona ww huweki yako? Watu tina nyumba zaidi ya hizo zote ulizotaja unakuja tupigia kelele 3.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums