ahahhahaahaha ngoja nikwambie mie na wenzangu woote unaowaona wako nyuma tukiongozwa na
gfsonwin Kongosho et al tumeolewa na wanaume wenye sifa zifuatazo
-madume kweli kweli kitandani (HILI NDO LA MSINGI MAELEZO HAKUNA)
-wanatuprotect kweli kihisia na kijamii yani tuko so much assured tuko salama shurti kutufanya tujisikie wanawake
-wanaopenda tuwahudumue ile kiafrika hasa kuanzia kitandani,mezani,msibani,shereheni,malezini, kifupi wako veery much proud they marry us
-wanaopenda watoto wao na kuwalea kwa malezi ya kiafrika
-wanaojua umuhimu wetu kwenye familia zao,kwenye matumbo yao,kwenye dushelele zao,kwenye ofisi zao,kwenye elimu zao
wanaojua akiyumba leo hapa tunaweza kutake cover since tumekuwa tukiwasupport katika kila walks of life
-wanaojua wameoa marafiki sio tuonawafanya watumwa kisa wametuoa
NEED I SAY MORE!