Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

hahahahahaha haya bana........huyo atakuwa mwanaume limbwata
 
Hahahaaaa!!! nasikia HARUFUUUUU!!!!!!!! (Ya air fresher lakini!) LOL!

Mama Angu always alikuwa ananiambia she is working hard for me .mama angu anasafiri duniani halali Hakuna kikao Anamiss .ananiambia I will die working for my children .nimezaliwa 1976 mama angu Ana masters ,kwa nini niende kwa mwanaume asiyenijali hell no.
 
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

Muombe Mungu siku zake za kuishi ziwe nyingi.
 
Mheshimiwa spika nafuta kauli!!!! Mwanaume wangu amepauka akijikuna anatoka unga tu, manake yeye mwenyewe 1000$/week na 5000$/mwezi mwenzangu hizo kwake ni shopping tu atiiii!

Tumia olive oil kupikia chakula.ataacha kupauka,
 
Kwa kulisaidia jukwaa hebu tupe ratiba yako ya siku Natalia
 
Last edited by a moderator:
he he he he, mie baba yangu ana PHd, alikuwa makamu katibu mkuu UN.

Amesafiri sana duniani, hadi walimpa ofa ya kusafiri kwenda Pluto kusuluhisha mgogoro.

Yaani hadi wadoli wangu wamekatiwa insurance.

Nakuzidi kidogo tu, mie nimezaliwa 1968.

Mama Angu always alikuwa ananiambia she is working hard for me .mama angu anasafiri duniani halali Hakuna kikao Anamiss .ananiambia I will die working for my children .nimezaliwa 1976 mama angu Ana masters ,kwa nini niende kwa mwanaume asiyenijali hell no.
 
he he he he, mie baba yangu ana phd, alikuwa makamu katibu mkuu un.

Amesafiri sana duniani, hadi walimpa ofa ya kusafiri kwenda pluto kusuluhisha mgogoro.

Yaani hadi wadoli wangu wamekatiwa insurance.

Nakuzidi kidogo tu, mie nimezaliwa 1968.
nimetoka huko juu kwa shehe ponda nimenuna, nimekuja hapa umenipa smile, usiniue mbavu zangu saa hizi, lol!
 
Kwa kulisaidia jukwaa hebu tupe ratiba yako ya siku Natalia
Mume wangu anaamka asubuhi anawaandaa watoto ready kwenda Shule anawatengezea breakfast na Ana brew coffee take Ana kuja juu chumbani ananipa tea na anakunywa coffee na mimi
 
Last edited by a moderator:
Mume wangu anaamka asubuhi anawaandaa watoto ready kwenda Shule anawatengezea breakfast na Ana brew coffee take Ana kuja juu chumbani ananipa tea na anakunywa coffee na mimi
kwi kwi kwi! yule wangu akifanya hivyo siku hiyo, jua nimetoka kujifungua, mshono haujapona, kazi ipo! kweli hawa watu hutofautiana eeee?? chezeiya yule mtu wa ile kabila?? hongera mwaya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom