Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka
wewe endelea tu kupikiwa chai.....
Mie mwanamke nimekamilika........ Zaidi nimejawa mapenzi na mahaba kwa familia yangu.....
Wanangu nataka wale chakula nilichopika mwenyewe, healthy food....
Napenda nimuandalie mume wangu msosi mzuri aridhike.....
Bafuni twaenda kuoga pamoja, sio aniogeshe bali tuogeshane.....
Chakula atanipikia kama suprise tena kinamoga, hakipikwi kwa sababu nalazimisha......la hasha bali kinapikwa na kuungwa kwa upendo....kitammmmmmm
sihitaji allowance, nina biashara nzuri yenye kipato cha kunitosha..... Hela awawekee watoto bank itawafaa kesho na keshokutwa
raha ya kuolewa ni mke na mume kutunzana, na sio kukunja mikono kusubiri kupewa......
Raha ninapoenda shopping na mkwanja wangu..... Nakuahiza hiki na kile kwa fedha niliuoitolea jasho.....
Inawezekana mie mshamba, ila naenjoy sana nikifanya shopping kwa fedha yangu...hususan ninapoifanyia shopping familia kwa mpunba wangu...... Haswa pale ninapompunguzia mume wangu majukumu, na fedha yake kuzidi kuwekeza kwenye miradi ya familia......
Anyway wanawake tunatofautiana vionjo....ila ugolikipa no, hata kama mwanaume anamiliki mgodi, utamtegemeaje mtoto wa mwanaujme mwenzio hadi kyupi?