Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .

Haujampata wa kumlea wewe!!
 
Natalia kuvumilia kuna raha sana unachotakiwa uwe na target siyo jitu halina weee na hana hata mipango ya kupata
mtu hana miezi 3 ukamvumilia alivyopata ha ha ha ni faida hiyo miaka yote utakayoishi
take ana example upo na mtu katikati ya mahusiano akakwama then ukamsupport labda miezi kadhaa au miaka kadhaa kisha akaibuka na akakulipa fadhila kwa kukufungulia bonge la project hapa mjini au akakununulia nyumba au likiwanja
ila muhimu uwe na akili na umjue mtu kama hujaamua kumvumilia unaweza ukamvumilia halafu jamaa akapata akakutosa akakuambia "huendani na mimi hadhi yako kwangu ni housegirl"
be extra smart
 
Last edited by a moderator:
Umefufukia wapi wewe ? acha uzushi lete source sio habari za jumla jumla hapa. wapi ? kitabu kipi ? Mstari wa ngapi ? Lini?

Hapa sio swala la mstari kwan imeandikwa wanaume mtatafuta pesa kwa jasho ili kuilisha familia yako...hata mm nawashangaa sana mnaowalea wanaume zenu kiruuuuuu...
 
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

mhhh, wadada wa kileo hawa, lol...kazi kweli kweli.
 
Ukiwa na mawazo kama hayo utakuwa lege lege...hutakuwa malengo makubwa kwenye maisha,,,

Kama wanaume wanaweza kupata position kubwa na sisi tunalalamika kukandamizwa kijinsia...mwanamke anayehitaji ela ya kujirembea tu... u CEO wa nini???? Tuwaache wenye majukumu makubwa wapewe vyeo vikubwa au???
Malengo my husband is wealth my in laws usiseme.my parents successful .nimezaluwa 1976 mama Ana masters na baba .pete ya Bati hell no,umezaliwa Kwenye nyumba ya bati nunua Pete ya Bati.
 
Hapa sio swala la mstari kwan imeandikwa wanaume mtatafuta pesa kwa jasho ili kuilisha familia yako...hata mm nawashangaa sana mnaowalea wanaume zenu kiruuuuuu...

Mwanaume alifukuzwa kazi mpe week mbili.
 
yaani nimuangalie tu mume wangu akienda kupamda daladala? Au ashindie maji ofisini? Kisa amekosa hela kipindi hicho? Haiwezekani kamweeeeee....

Natalia hujapenda wewe....uko ndoani ili urahisishe maisha.....

Badili Tabia naona tabia yako imenyooka 180 degreees!!!!!!!!!!! BIG UP!!! Ila isije kuwa mambo ya LIMBWA-------!!!! LOLEST!!!!!! (Wimbo wa kupendwaaa ndo hukuuuuu! Kupendwaaaa kuthaminiwaa! ukuburudishe hapo kwako/ofisini ukingoja jua lizame ukaonane na MAHUSAT wako!!!!! Wivu.com utaniaua!!!! LOL!)
 
So Unataka Nani Amlee Mwenzie?
Mambo Kuleana Bwanah!
Si Haki Sawa Kwa Wote?
 
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

Jamani Nata unaturusha roho wenzioooo! Bongo jua kali atiiii afu unatudorishia hayo maspoilling!!!! Wanaume wenyewe hawa wamepauka wakijikuna wanatoka unga, si tutawaua kabisa!!!! lol! Una bahati atii!!!!
 
Sema bibie baelezee baelewe hakuna kulea mwanamme.
 
Hapa nilipo napikiwa chai inaletwa chumbani , lunch mwanaume wangu Anatoka kazini ananiletea chakula anafua ,ananiogesha,Anaosha gari yaani allowance 1000 dollar kwa week .mimi sikufichi kazi yangu shopping makeup gym na palate na ku make love kwa mme wangu nakuwapenda wanangu.nafanya kazi kwa sababu nataka

Umepata kanaume kazuzu/kabwege
 
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani yako .make your men work for you .nenda kazini ukijisikia ,trust me .

Msiisingizie biblia.. kitabu cha mithali 31 inaeleza kuwa mke mwema ndio mtafutaji wa pesa. Anailisha na kuivalisha familia bila kusubiri mume. Lkn ukipata mwanaume wa kumdekea we deka mpaka mwisho
 
Jamani Nata unaturusha roho wenzioooo! Bongo jua kali atiiii afu unatudorishia hayo maspoilling!!!! Wanaume wenyewe hawa wamepauka wakijikuna wanatoka unga, si tutawaua kabisa!!!! lol! Una bahati atii!!!!

Nenda u turn wazungu kibao wanatafuta wala vumbi na wanuka vikwapa
 
Jamani Nata unaturusha roho wenzioooo! Bongo jua kali atiiii afu unatudorishia hayo maspoilling!!!! Wanaume wenyewe hawa wamepauka wakijikuna wanatoka unga, si tutawaua kabisa!!!! lol! Una bahati atii!!!!

Hahahahahah!
We LARA wanimaliza Mie!
Eti Wame...?
Ngoja Yakufike Ya Diva!
 
Heheheheh eti wanaume wa bongo wamepauka wanatoka unga shosti lara 1 watake radhi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom