Wanawake Acheni kulea wanaume .Ni dhambi biblia inasema

wee ni conservative???
Ngoja nikimbilie dikishenare kwanza.

Ok, ok, mie ni leberal sana
napenda Kim Kadarshian, Tayra Bank, Opra, Ellen de generade.

News zinaniletea wrinkles usoni
No I'm very conservative and I watch fox news,history channels ,shopping on line ,e.t.c
 
Nilikuwa nafanya research wakati ule.sielewagi mapenzi ya kiafrica kwa kweli,mtu unaolewa na mtu Hana Kazi au nyumba.nilikuwa nataka kujua reaction zenu .mpo nyumba mnoo
ahahhahaahaha ngoja nikwambie mie na wenzangu woote unaowaona wako nyuma tukiongozwa na gfsonwin Kongosho et al tumeolewa na wanaume wenye sifa zifuatazo
-madume kweli kweli kitandani (HILI NDO LA MSINGI MAELEZO HAKUNA)
-wanatuprotect kweli kihisia na kijamii yani tuko so much assured tuko salama shurti kutufanya tujisikie wanawake
-wanaopenda tuwahudumue ile kiafrika hasa kuanzia kitandani,mezani,msibani,shereheni,malezini, kifupi wako veery much proud they marry us
-wanaopenda watoto wao na kuwalea kwa malezi ya kiafrika
-wanaojua umuhimu wetu kwenye familia zao,kwenye matumbo yao,kwenye dushelele zao,kwenye ofisi zao,kwenye elimu zao
wanaojua akiyumba leo hapa tunaweza kutake cover since tumekuwa tukiwasupport katika kila walks of life
-wanaojua wameoa marafiki sio tuonawafanya watumwa kisa wametuoa
NEED I SAY MORE!
 
Last edited by a moderator:
he he he, pole wee

ujue kadiri unavyozidi kusoma kichwa kinakuwa 'used' zaidi. Mie ni fomu 2 tu, lakini baba yangu ana phd.

Yaani unafanya kazi? Si utachubuka mikono.

I can't work, nani atamsubiria my hubby ofisini jioni?

No thank you.

He he he, utajuta!
ni afadhali kichwa kiwe used kwa kusoma mambo ya maana kuliko kuwa used kwa kusoma maluweluwe...........
 
Hongera for you have all the ingredients za kuwa a classic gold digger. Watu kama nyie huwa mnakuwa na wakati mgumu kimaisha kipindi mumeo kashushwa cheo ama kapoteza kazi. Usipende kujilinganisha na kina Kim Kardashian, si unawaona they have nothing to do but kuji expose kila kukicha, badala yake wanakuwa used na kuachwa kwenye mataa. Na wewe siku ukiachika itakuwa hivi hivi kwani hakuna jibaba aliye tayari kuwatunza watoto wako. Ukiomba pesa kwa mijibaba ili ukawanunulie wanao nguo za Gucci ama Polo upate kubakia kwenye status ile ile ya awali, pengine watakupa once but believe me utachanwa mku.ndu ama tundu lolote lile mwilini mwako maana they will use you kufidia hela zao. Hivyo jiandae. Just in case....naomba namba yako ya simu!
Unajua mimi mtoto wa nani? Wazazi wangu wamenijengea nyumba 3 Za dhamani bongo mashamba na kadhalika.mume wangu no 6 figure baba mkwe wangu sitaki kuongea.i was born with wealth.1976 mama angu Ana masters .wa kwako.wakati mnaimba Ukuti Ukuti nilikuwa Naimba " oh susan don't cry for me " .enzi Za Nyerere tulikuwa tuna swimming pool tv masaki.kaa chonjo
 
ahahhahaahaha ngoja nikwambie mie na wenzangu woote unaowaona wako nyuma tukiongozwa na gfsonwin Kongosho et al tumeolewa na wanaume wenye sifa zifuatazo
-madume kweli kweli kitandani (HILI NDO LA MSINGI MAELEZO HAKUNA)
-wanatuprotect kweli kihisia na kijamii yani tuko so much assured tuko salama shurti kutufanya tujisikie wanawake
-wanaopenda tuwahudumue ile kiafrika hasa kuanzia kitandani,mezani,msibani,shereheni,malezini, kifupi wako veery much proud they marry us
-wanaopenda watoto wao na kuwalea kwa malezi ya kiafrika
-wanaojua umuhimu wetu kwenye familia zao,kwenye matumbo yao,kwenye dushelele zao,kwenye ofisi zao,kwenye elimu zao
wanaojua akiyumba leo hapa tunaweza kutake cover since tumekuwa tukiwasupport katika kila walks of life
-wanaojua wameoa marafiki sio tuonawafanya watumwa kisa wametuoa
NEED I SAY MORE!
hapa mlongo wangu umepoteza pumzi zako tu kupigia kengele kiziwi, pole sana
 
he he he, ukuti ukuti ni nini??

Mie mwaka 1968 nilizaliwa London, na nimekulia huku huku.

Nina Nyumba 2 Miami na 1 Trindad and Tobago.

Mwaka 1970, nilikuwa na blackberry 1 na nokia Asha 2.

Unajua mimi mtoto wa nani? Wazazi wangu wamenijengea nyumba 3 Za dhamani bongo mashamba na kadhalika.mume wangu no 6 figure baba mkwe wangu sitaki kuongea.i was born with wealth.1976 mama angu Ana masters .wa kwako.wakati mnaimba Ukuti Ukuti nilikuwa Naimba " oh susan don't cry for me " .enzi Za Nyerere tulikuwa tuna swimming pool tv masaki.kaa chonjo
 
Unajua mimi mtoto wa nani? Wazazi wangu wamenijengea nyumba 3 Za dhamani bongo mashamba na kadhalika.mume wangu no 6 figure baba mkwe wangu sitaki kuongea.i was born with wealth.1976 mama angu Ana masters .wa kwako.wakati mnaimba Ukuti Ukuti nilikuwa Naimba " oh susan don't cry for me " .enzi Za Nyerere tulikuwa tuna swimming pool tv masaki.kaa chonjo
sasa huo ukuti ukuti uliujulia wapi? maana hata shule kama ulilazimika kusoma bongo basi lazima ilikuwa IST, kule hawaimbi ukuti bwana
 
Unajua mimi mtoto wa nani? Wazazi wangu wamenijengea nyumba 3 Za dhamani bongo mashamba na kadhalika.mume wangu no 6 figure baba mkwe wangu sitaki kuongea.i was born with wealth.1976 mama angu Ana masters .wa kwako.wakati mnaimba Ukuti Ukuti nilikuwa Naimba " oh susan don't cry for me " .enzi Za Nyerere tulikuwa tuna swimming pool tv masaki.kaa chonjo

Enzi za Nyerere nilikuwa naishi na wazazi wangu Japan then Sweden na sasa hapa California/Bongo. Yes, wazazi wangu wote wamesoma na hiyo masters mtoto wangu wa kwanza ndiyo anachukua sasa hivi hivyo kisomo kwetu ni damuni. Lete hoja nyingine.
 
he he he, ukuti ukuti ni nini??

Mie mwaka 1968 nilizaliwa London, na nimekulia huku huku.

Nina Nyumba 2 Miami na 1 Trindad and Tobago.

Mwaka 1970, nilikuwa na blackberry 1 na nokia Asha 2.
umeona eeh, mimi mwenyewe nimeshangaa kajulia wapi huo ukuti, lol!
 
umeona hapo juu?

Nimezaliwa London mie, miguu ya kuku nimeisoma kwenye jografia.

Tena sasa hivi anapiga dili hilo, soon atakuwa Zrilionea, na huu ndio kiwango cha juu cha utajiri.

kwani trilionea si umekutana naye baada ya kuachika mara 6 na wabongo ambao mmoja alilaanika kuzaa nawe baada ya mimba yake kushindikana kutoka? eti siku hizi unakula fileti tu, lol!
 
Unajua mimi mtoto wa nani? Wazazi wangu wamenijengea nyumba 3 Za dhamani bongo mashamba na kadhalika.mume wangu no 6 figure baba mkwe wangu sitaki kuongea.i was born with wealth.1976 mama angu Ana masters .wa kwako.wakati mnaimba Ukuti Ukuti nilikuwa Naimba " oh susan don't cry for me " .enzi Za Nyerere tulikuwa tuna swimming pool tv masaki.kaa chonjo
hahahahhahaha ah Natalia weeeeh!
 
Last edited by a moderator:
he he he, ukuti ukuti ni nini??

Mie mwaka 1968 nilizaliwa London, na nimekulia huku huku.

Nina Nyumba 2 Miami na 1 Trindad and Tobago.

Mwaka 1970, nilikuwa na blackberry 1 na nokia Asha 2.

nipe raha mie Kongosho
 
Last edited by a moderator:
umeona hapo juu?

Nimezaliwa London mie, miguu ya kuku nimeisoma kwenye jografia.

Tena sasa hivi anapiga dili hilo, soon atakuwa Zrilionea, na huu ndio kiwango cha juu cha utajiri.
he he heeeeeeeeeee, haya bwana. kwangu mimi la maana ni kuwa HAPPILY MARRIED!
 
Unajua mimi mtoto wa nani? Wazazi wangu wamenijengea nyumba 3 Za dhamani bongo mashamba na kadhalika.mume wangu no 6 figure baba mkwe wangu sitaki kuongea.i was born with wealth.1976 mama angu Ana masters .wa kwako.wakati mnaimba Ukuti Ukuti nilikuwa Naimba " oh susan don't cry for me " .enzi Za Nyerere tulikuwa tuna swimming pool tv masaki.kaa chonjo

umenikumbusha mbali kweli na hizi tambo!waliosoma forodhani nafkiri mtakuwa mnanielewa namaanisha nini!dah!
 
Oh am so happy goodevening everybody!thanx kila mmoja especialy Natalia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom