Wanaume: Zama zimebadilika

"kuchase wanawake" hili neno teyari linaonesha tatizo.
Personal kutafuta mwanamke naona ni kuonesha uhaba ilihali mimi naona wako wengi ni kuchagua mwanamke maana wako wa aina zote.
Ukitaka wakukutesa au wakukubariki ni wewe tu. Na mwanamke ni stage ya juu ya stage ya jinsi ke sio kila jinsi ke ni mwanamke.

Naona focus iwe kujidevelop mwenyewe kwanza kwenye level ya uelewa na uwe specific unahitaji nini kwa mahusiano unayo yataka kama unataka starehe, kujenga kingdom/ familia yenye misingi, au otherwise basi chagua anayeendana na wazo lako. Sio unataka uzuri na ability ya ndani ( malezi, management, stability etc) ni nadra kupata vyote.
Pia lazima na wewe ujielewe ikiwa nawe unamawenge huwezi pata mwanamke mtulivu mwenye ukuu ndani yake. Tujijenge kwanza sisi na tujiambue ukweli jinsi ke wako wengi sana sisi tuchague tu standards zetu.
Law of attraction hairanganyi utavuta watu wa aina yako na sio vyenginevyo ji develop wewe na uwe na standard yako sio ovyo ovyo tu.
 
utaoa wangapi?
 
Hakika, mzee alikosea sana kupenda asipo pendwa
 
watu pia wawe wamekomaa kiakili nimeangalia ndoa ya binti wa ruto na mwenzie inaonekana ni watu waliokomaa kiakili.
Ukitaka kujua watu ni wajinga wamekazana kusema binti ni mnaya hana sura wala shepu kumbe hawajui ndoa ni zaidi ya hivyo.
Exactly it's only those who are higher kwenye maslow pyramid that get to see above superficial stuff
 
Wanaliwa wanawake wengi sana kupitia kigezo cha hela hela...iko wazi kama mwanamke tanguliza hela hata uwe na mwanaume yuko na pesa nyingi.Utamaduni wako wa kuliwa upo pale pale kupitia pesa.
Mimi ni dume, ila mwanamke naye hupima mwanaume gani wa kulala nae based on her level of uchumi... Nenda kamhonge kajala million5 kama atakubali
 
Mimi ni dume, ila mwanamke naye hupima mwanaume gani wa kulala nae based on her level of uchumi... Nenda kamhonge kajala million5 kama atakubali
Mkuu pole kwamba kajala akatae Million 5..wacha nikae kimya..Njoo huku Katoro na Chunya utakuja kufuta hii comment
 
Nipe connection nami nije nilemema ya nchi... Uko mogodini?
Mwanzo sikuelewa nilipofika hizo sehemu kwa miaka miwili hii.
Kuna watu ni wastaarabu sana ila huwezi fikiri kama wana kazi na kokodiwa nyakati vijana wakipata maokoto migodi hii ya watu wa kati.Ni mashindano nani kalala na nani...

Tunaogopa kutekana tu Mkuu ila ukipata nafasi tembelea huko...utawaona hata ambao hukuwategemea
 
That's so well put mkuu..

I'm even doing and applying that in my life too. Ndo maana hata kwenye hii post niliweka hilo as a first priority.... A man's life should be revolving around his purpose including his wife.

That's bars right there
 
Aisee! Ni hatari sana. Ila yote kwa yote maokoto mkuu, these chicks want money and not blah blah.. Japo hilo ni kwa wanaume wapenda chini
 
utaoa wangapi?
Assuming nina miaka 20 ya kuishi nikiwa bado ni mwanaume kamili ninayehitajia wake, then kila nikioa nakuja kupigwa tukio kwasababu hata IST sina. Kikawaida kama nilijituma kidogo kwenye kuchagua uyo mke na kumtunza itachukua at least 1.5 - 2 years kabla ya kuja kuporwa na mwamba mwenye IST so roughly nitaoa kama wanawake 9Β± at worst scenario.
 
That's bars πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
 
UZI UFUNGWE. 🀝🏽
 
Yes, in that chase for dooo, huko ndo utajua standard zako, na hapo ndo utagundua kumbe wako wengi... Mwanaume kapuku hana choices..

Na kuelewa sana mkuu
 
Aisee! Ni hatari sana. Ila yote kwa yote maokoto mkuu, these chicks want money and not blah blah.. Japo hilo ni kwa wanaume wapenda chini
Ndio maana nakueleza Mkuu ukitaka kujua hawa ndugu asilimia kubwa waliona ona fedha ndio lango kuu.
Awe kwenye ndoa..awe na kazi...wanasafiri sana hasa Ijumaa kuja sehemu hizi ...na wengine si huko tu wana sehemu zao na kuna walaji wao.

Ukitembelea chuma ya kuanzia M35 kwenda juu huku ukawa mtulivu utakuja kunishukuru πŸ˜› πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…