scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,893
- 5,798
mna watoto wangapiUnapata mkuu hujakutana na demu alie chezewa na akatelekezwa mkuu, wanakua wamechoka vihoja nina ushubuda nilipendwa na demu matawi ya juu nikawa namuogopa siku moja alinambia amewapa sana wanaume moyo wake na wameishia kumuumiza tu, hivo yupo tayari hata kudate na mzoa taka kikubwa upendo wa kweli.
Nilipo kua naisshi wale madada mbona walikia wanahudumia wame zao
Sija pigwa tukio wala nini, ninawasanua wanaume kuwa na tahadhari na kuchukua ukweli Mchungu... Zama zimebadilika.Watu mkipigwa matukio huko mnakuja JF kutisha watu na kutujaza ubaya wanawake, tafuta pesa kwa ajili ya ustawi wa maisha yako na si kwa sababu ya mwanamke kwani wangapi wana pesa na mapenzi yanawanyoosha??? mapenzi hayana maalumu.
Hapana nilimtema mimi sababu sina mpango kwa sasa kua na familia, lakin ka ninge kua muoaji ninge vuta ile malimna watoto wangapi
Katika normal distribution wanaokuwa juu ni wachache, wengi wanakuwa average na chini.Sawa mkuu,
Na kuelewa point yako, ila maisha na zama zimebadilika, si semi watu wa namna hiyo hawapo, bali ndo uhalisia wa maisha tuishiyo zama hizi.
Wanawake wenye akili wapo, na wapambanaji wapo pia, ila ni asilimia ndogo sana
Mkuu Nimeongelea basic relationship standards.. Bila hela unajidanganya tu kama mwanaumeUkiingia kwenye mtego wa Malaya hata uhonge Mbingu bado itakulamba tu....Taksi Bubu zipo nyingi tu zimejificha nyuma ya mwamvuli wa hela.Maovu ya hao Malaya si lazima iwe kwa wanawake wote..watu wanaendelea kuishi na muda uandelea kuwabariki zaidi.
EPUKA mwanamke mwenye tabia za kimalaya malaya kwa kisingizo cha kuwa hela inaendesha UKE wake maamuzi ni yako mwanaume.
Ndo unajifariji hivyo? Unafikiri kisa anakuvumilia na kapuku wako siku akipata offer ata bali kuku Heshimu? Acha kujipa umuhimu ambao hunaTatizo lako hujiamini na bila shaka umeanza mapenzi ukubwani, ninyi huwa na shida sana aisee.
Kutongoza hamjui, kumhandle mwanamke hamjui, kazi kuhonga tu. Hata yule dem aliekuoenda upendo unaoungua maana huna unachooffer zaidi ya kutaka kuombwa pesa.
Unawekwa upande wa kitega uchumi huku wahuni wakiichabanga free.
Sio mimi nimesema ni jirani ndiye aliye oa single motherndio zama zimebadilika tafuta mtu mnayeendana wanawake wa sasa hivi sio kama kondoo utakavyokuja ndo nitakavyokupokea,mambo ya zamani mwanamme anaenda kulea mama anaenda shambani kwa sasa hamna.
Turudi kwa reference ya huyo mgane wako,tulishasema usioe single maza labda uwe uliudhuria mazishi ya mmewe
Hakika... Ndio maana mimi nimekomaa na binti kiziwiNilishasema humu acheni kuoa kwa matamanio achen matamanio hebu oa Mke sio kwa ajili ya matamanio ya Kimwili akili zake ni muhimu kuliko Hilo kalio lake
labda huyo tajiri ni mbovu kupeleka moto kwa mke wake na huyo jamaa anaisigine haswa mbunye ya huyo mke wa tajiriPale mkoa x kuna tajiri mkubwa sana pesa ipo ila mkewe kaliwa na kinamaa fulani hivi kilala hoi na ilikia daily yule mama anaipeleka mwenyewe
watu pia wawe wamekomaa kiakili nimeangalia ndoa ya binti wa ruto na mwenzie inaonekana ni watu waliokomaa kiakili.Nilishasema humu acheni kuoa kwa matamanio achen matamanio hebu oa Mke sio kwa ajili ya matamanio ya Kimwili akili zake ni muhimu kuliko Hilo kalio lake
Hii mbn inaeleweka ... ngoja waje mashekhe na mapadriNgoja niwasanue wanaume wenzangu leo.
Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke.
Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya wastani.
Dunia ya leo yenye shinny objects za kutosha, sahau kabisa kupata mwanamke atakaye vumilia ki IST chako na huku kuna wanaume wengine wanampigia miruzi na wana drive Range rover...
Achana na wanawake broo, tafuta intimacy kwenye purpose yako. Trust me that's one of the most intimate thing you can have as a human being.... Hakuna stability unayo weza kuipata kutoka kwa mwanamke kwa miaka hii, ambayo wanawake wana comparison Mchungu mzima, utaishiabkuimpress mtu asiye ridhika tu...
Kuna mzee mmoja alifiwa na mkewe, akaamua aoe millenia single mother ambaye alikuwa na mtoto nje, aisee yule mzee alikuwa ana mpa zawadi lukuki yule mwanamke, ila alipenda vikubwa zaid ya uwezo wa mwanaume, na mwanaume alikuwa wanazidi kupanda dau, utafikiri amerogwa.. Alikuwa ananunua katoni za nguo, vyakula vya kila aina, yule mwanamke alipenda kupata degree, na mzee akagharamikiabkila kitu, wakati yule mwanamke alikuwa ana kazi, yake.
Yaani baada ya yote hayo, bado nyumba ilikuwa haina utulivu, kila day vihoja, sisi kama majirani ilikuwa week ikipita bila kuitwa mkasuruhishe mgogoro, nasema ni kama miujiza.
Ndugu yangu mwanaume, zama zimebadilika, jali afya yako ya akili na mustakabali wa maisha yako binafsi, na watoto wako kama unao.. Achana na wanawake ndugu, utaishia kuchizika tu.
Nakumbuka familia kipindi tunakuwa, ilikuwa hata kama kuna ugomvi baina ya wanandoa hautakuja skia, ilikuwa wanayamaliza, upendo wa kweli na amani vikitawala. Wanawake hawakuwa malimbukeni wa mali, wali chukua ndoa kama kitengo nyeti ambacho no amount of money could ever buy it. Walijua kuwa familia ndo msingi bora wa jamii na koo iliyo imara... Ila leo people don't give a damn about family. Ndo maana unaona jamii ya watoto hasa wale wanafunzi walio trend wakisema wanawake walinde mabwana zao...
Ni hayo, tu ndugu zangu...
Mimi sio mgeni, jf nimekuwa humu toka kitambo. Nawatakia jpili njema na yenye baraka.
Huu muandiko ni ishara huna hela broo...your turn is on the way 😀Unatishia hadi watu wana IST ya milioni karibia 20 uko wakati watu wapo na wanawake zao wazuri tu wanapiga misele kwa miguu na penzi linadumu. Hayo mapenzi mnafosi wazee, tafuta mahali unapendwa, huyo mzee jirani atakufa na presha penzi halinunuliwi ilikuwa amuache tu huyo mwanamke maisha yaendelee
Wanaliwa wanawake wengi sana kupitia kigezo cha hela hela...iko wazi kama mwanamke tanguliza hela hata uwe na mwanaume yuko na pesa nyingi.Utamaduni wako wa kuliwa upo pale pale kupitia pesa.Mkuu Nimeongelea basic relationship standards.. Bila hela unajidanganya tu kama mwanaume
Wanaume wengi mikumbo tu ndo maana wanawake wanawapelekesha wanaangalia sura na makalio utadhan no vitu vinavyoendesha ndoawatu pia wawe wamekomaa kiakili nimeangalia ndoa ya binti wa ruto na mwenzie inaonekana ni watu waliokomaa kiakili.
Ukitaka kujua watu ni wajinga wamekazana kusema binti ni mnaya hana sura wala shepu kumbe hawajui ndoa ni zaidi ya hivyo.
Hapo mkuu sijui, ila kisema pesa itamkalisha demu kwako uongo, mwanamke anashawishiwa kwa vingi sana, kuna anko zangu wamelizwa sana na mapenzi hiwe,i amini wana hela na nguvu ya kusukuma kiuno sidhani kama hawana sababu ni shabab na ni wajuaji blaalabda huyo tajiri ni mbovu kupeleka moto kwa mke wake na huyo jamaa anaisigine haswa mbunye ya huyo mke wa tajiri
Kweli sina hela ila ingekuwa yanayosemwa ndiyo hata 50% ya uhalisia wa maisha ya kawaida hizi familia zinazokaa kwenye chumba kimoja kimoja cha kupanga zisingekuwepo. Ni ishu ya una deal na nani, na hata kama iyo unayoita zamu yangu ikifika (watu wanabadilikaga) si namuacha tu natafuta mwingine. Zingatia kanuni ni USIFOSI hautatesekaHuu muandiko ni ishara huna hela broo...your turn is on the way 😀
wakitoka hapo wanakuja kulalamaWanaume wengi mikumbo tu ndo maana wanawake wanawapelekesha wanaangalia sura na makalio utadhan no vitu vinavyoendesha ndoa
Watu wanoa vibint vidogo akili bado za kitoto anachojua ni kwenda na wakat wewe unatka mshape na ndoa