Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

Kwa mila yetu baba hahudhurii harusi ya binti yake, anawakilishwa tu na kijana wa kiume.

Nafikiri hilo tu lilikuwa na maana kubwa sana.

Bado sijawa na binti, ila uchungu nilionao hata kwa mdogo wangu wa kike, aiseee!

Yaani kuna siku tu najikuta nataka hata kulia nikiwazia huenda ana mpenzi mzushi huko, badaye naanza kujigombeza mwenyewe hivi nawaza ujinga gani
 
Si kwa baba tu hata mabinti wanawapenda baba zao. Nina binti tangu mdogo nikimuadhibu nabaki na kazi ya kumbembeleza mwenyewe. Anakaa ananiangalia usoni anatia huruma
Upo sahihi sana, tunawapenda baba zetu mpaka siyo poa..! Na ukubwa wote huu bado namuambiaga Baba, daddy I love you, kuna wakati anafanya kusudi ananijibu kikauzu, ni jukumu lako dada..!!
 
Kwa mila yetu baba hahudhurii harusi ya binti yake, anawakilishwa tu na kijana wa kiume.

Nafikiri hilo tu lilikuwa na maana kubwa sana.

Bado sijawa na binti, ila uchungu nilionao hata kwa mdogo wangu wa kike, aiseee!

Yaani kuna siku tu najikuta nataka hata kulia nikiwazia huenda ana mpenzi mzushi huko, badaye naanza kujigombeza mwenyewe hivi nawaza ujinga gani
Pole mpendwa, ukija kuwa na binti itauma zaidi ya ndugu wa kike, wababa wanaolia sahii nawaelewa ni kwanini huwa wanafanya hivyo..!
 
Jèsus..!!.
Shukrani sana sana Mkuu na A huge Amen to that, umenigusa kipekee sana kiukweli..! Ninaomba hivyo sana pia, Mungu anipatie mtu sahihi, aliyetoka kwake..!!

Barikiwa mno..!!
Maombi yako yamejibiwa....huyo mtu sahihi uliyemuomba ndiye Mimi.....naomba nikaribishe 'PM' nikunong'oneze kitu.
 
Eeeh bhana eeh, ntafurahi kinoma noma masuala ya goosebumps hapana kwa kweli.kwanza ni tukio la heshima na ni mojawapo ya hatua muhimu sana ya maisha anayopitia binadamu. so kama mzazi nitam_bless daughter kiroho safi, japo anaenda kuendeleza ukoo wa watu wengine, yaani hapo tu dah! mamaee,
 
Sjui vle baba angu atakavyojiskia, maana n ananipenda saaana hata me najua.

Nkienda tu sehem ya mbali baba ni atanipigia na kunijulia hali kila wakt utadhan nmeenda vtani, hahahahaha spat pcha kwa kweli.

Na me nampenda saaa baba yangu yaaan saaaana, huwa naniambia kamwe nisngependa upate shda mwanangu. Loooh! Mungu ampe maisha marefu baba yangu, sjui nielezee vp lkn baba angu ananipenda saaana. Ingawa me n mkubwa sasa lkn upendo wake kwangu haujawah kupungua .
 
Upo sahihi sana, tunawapenda baba zetu mpaka siyo poa..! Na ukubwa wote huu bado namuambiaga Baba, daddy I love you, kuna wakati anafanya kusudi ananijibu kikauzu, ni jukumu lako dada..!!
Lakini upendo wa mama ako kwako ndio uliofanya ukuze upendo mkubwa kwa baba. Na hilo hata wewe litakukuta kama ukiwa na mtoto wa kike. Ukizidisha upendo ndio unamfukuza zaidi kuwa karibu na wewe.

Vilevile upendo wa wakina baba kwa watoto wa kiume unawafanya wawe mbali na hii kutokana na matendo tunayoyatafsiri kuwa yanaonyesha upendo hasa kwa sisi Waafrika
 
Eeeh bhana eeh, ntafurahi kinoma noma masuala ya goosebumps hapana kwa kweli.kwanza ni tukio la heshima na ni mojawapo ya hatua muhimu sana ya maisha anayopitia binadamu. so kama mzazi nitam_bless daughter kiroho safi, japo anaenda kuendeleza ukoo wa watu wengine, yaani hapo tu dah! mamaee,
Hahahaa..!
Hivyo ambavyo huwa mnamalizia mnaniachaga hoi..!
Mungu akusaidie ukalifanikishe hilo mkuu..!!
 
Sjui vle baba angu atakavyojiskia, maana n ananipenda saaana hata me najua.

Nkienda tu sehem ya mbali baba ni atanipigia na kunijulia hali kila wakt utadhan nmeenda vtani, hahahahaha spat pcha kwa kweli.

Na me nampenda saaa baba yangu yaaan saaaana, huwa naniambia kamwe nisngependa upate shda mwanangu. Loooh! Mungu ampe maisha marefu baba yangu, sjui nielezee vp lkn baba angu ananipenda saaana. Ingawa me n mkubwa sasa lkn upendo wake kwangu haujawah kupungua .
aaaaw'...! How I feel you..!!😍😍
I am praying nisimuumize yule mzee jamani, vile ame sacrifice mengi mno kwa ajili yangu, natamani chozi pekee limtoke ni la furaha, Mungu atusaidie kiukweli..!!
 
Lakini upendo wa mama ako kwako ndio uliofanya ukuze upendo mkubwa kwa baba. Na hilo hata wewe litakukuta kama ukiwa na mtoto wa kike. Ukizidisha upendo ndio unamfukuza zaidi kuwa karibu na wewe.

Vilevile upendo wa wakina baba kwa watoto wa kiume unawafanya wawe mbali na hii kutokana na matendo tunayoyatafsiri kuwa yanaonyesha upendo hasa kwa sisi Waafrika
Whoooosh'...!
Mungu atusaidie tu kiukweli, sijamuongelea Mom sababu thread inazungumzia zaidi kina Baba, Ila trust Me hakuna kiumbe kinapendwa kwenye huu ulimwengu kama 'Mama'...!
 
Ila kumbuka hata watoto wa kiume wana upendo mkubwa kwa mama kuliko baba na hata akina ni hivyohivyo kuelekea watoto wa kiume.

Hata hivyo nikupe hongera kwa kuwa na upendo kwa wote baba na mama.
 
Back
Top Bottom