Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,085
- 8,443
Ndo hivyo silipendi sana bora untukane vyote ila kuniambia utaolewa hua inaniuma sana kama kidumeJamani, kwanini hulipendi?? Nini kimetokea??
Ndo hivyo silipendi sana bora untukane vyote ila kuniambia utaolewa hua inaniuma sana kama kidumeJamani, kwanini hulipendi?? Nini kimetokea??
Hahahahahaha! dah unanikumbusha mengi wewePole nilijua ni binti ndiyo maana nikakuuliza kwa huruma.!!
Kipindi nipo secondary na msingi baadhi ya walimu wageni walijua mimi mwanamke sijui walivyoniona sura na huu weupeMengi yepi ndugu yangu..!?
Hivyo binadamu mtakatifu, wewe ni kahendsamu halafu mweupe, una ka base kidogo sivyo.!?Kipindi nipo secondary na msingi baadhi ya walimu wageni walijua mimi mwanamke sijui walivyoniona sura na huu weupe
mpaka nisimame waone kasuruali nikiongea kabess ndo wanajishtukia
Hahahahaha mi mwenyewe sijui?😅😅😅Hivyo binadamu mtakatifu, wewe ni kahendsamu halafu mweupe, una ka base kidogo sivyo.!?
kwa hili tamanio lako mshirikishe sana mungu kila upatapo wasaa, mungu ni mwaminifu sana naamini atakupa haja ya moyo wakoNaelewa ndiyo rafiki yangu, ila nazungumzia kale ka feeling ka kupendwa ile true love hasa ndiyo tamanio langu'..!
HAKIKANatumaini nipo sahihi..!!
Nitakunywa bia mpaka vazi linishuke nimwage radhi kama mfalme daudi,kikubwa huko ndoani wasipigane tu ikawa vazi langu lilishuka bure.
Jamani, kusoma tu hichi umeandika hapa moyo umeniuma..! Endelea kumuonesha upendo mkuu usiache, utatengeneza mwanamke mmoja jasiri na mwenye upendo wa ajabu sana..!Nadhan ni maumivu, nina kabinti kangu kadogo bado tunapendana sana, kutokana na majukumu yupo mbali kdg namimi, ila sikukuu ya Krismass nikaona niende kukatembelea, sasa siku ya kuondoka na kukaacha ikafika, huwezi amin machozi yalinitoka, kalikuwa kameshika bag yangu kanazuia isiingizwe kwenye gari huku kakilalamika "baba ulisema unanipenda sa mbona unaniacha".. ile siku nilipata hisia za ajabu moyon nililia sana, sikuwa comfortable almost wiki nzima ikawa nakapigia simu kila siku asubuhi, mchana na Jion.
Sasa siku anaenda kuolewa, sijui itakuwaje, na akiwa huko kwenye ndoa nikasikia ananyanyaswa, nadhan Jela itanihusu.
Bila shakaHaha,
Utajali kama nikiona mkuu..??
😂😂😂😂😂😂Nasubiri piemu ya kapicha walaqhi'..!
Nilijiskia vibaya SanaJamani pole Jane..!
Mzee alishindwa kuvumilia kuwepo eneo lile nadhani, na ulijiskiaje kuona baba hayupo around..! Hukuhuzunika zaidi..!?