Wakina mama wenye watoto wakiume, Haya malezi mnayojidanganya ni kuwajali watoto kiuhalisia ni hatari kwenye ulimwengu wetu wa wanaume

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,849
Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume

Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa malezi ya kikondoo.

Ndio tunajua kwamba mnawapenda watoto wenu lakini muwe mnakumbuka hao watoto ni wa kiume na ulimwengu wa wanaume ni tofauti na wenu wa kike, huyo mtoto ukimlea tofauti na ulimwengu wa wanaume inaweza kumletea matatizo mengi sana.

Nashangaa wanawake wanaopenda kuremba remba watoto wao kikike kike, mtoto nae anaanza kuzoea, hii ni hatari sana kwenye ulimwengu wetu wa wanaume, mtoto wako anaweza kuamsha hisia za baadhi ya wanaume wamuone kama wa kike wanaanza kumtongoza.

Mtoto wako akipigwa na mwenzake ambae unaona kabisa wanalingana vingi, usimfungie ndani kujidanganya unamlinda, hilo ni kosa katika ulimwengu wetu wa wanaume! mwambie aende ku deal na hio situation, huu ulimwengu wetu wa wanaume kuna ubabe sana aisee, huku hakuna maneno mengi ukilemaa unafumuliwa mangumi na wengine wakijua huna nguvu nao wanakuja kujipigia kwako,, ipo siku huyo mwanao atakuwa mkubwa aende hata boarding huko, wenzake watakuwa wanampasua mpaka basi.

Jaribu kumtaftia mtu wa karibu mwanaume awe kama father figure, anaweza kuwa kaka yako, mdogo wako wa kiume, ndugu unaemwamini au hata ukijaaliwa awe boyfriend ama mme wako mpya,,,, amini usiamini hii ina impact kubwa sana kwake.

Huyo mtoto ni mwanaume wewe ni mwanamke, muone kama kaka au baba yako, kuna hii tabia ya wamama kupenda kulala na watoto wao waliozidi hata miaka sita, hii sio nzuri kwa makuzi ya mtoto wa kiume hata kidogo,,, mtoto wa kiume kafika miaka sita unamuogesha ?? hebu acha hizi tabia tafadhali,,, bora hata uwe unamwacha awe anajiogesha ila unachungulia.., hivi vitu vinaharibu saikolojia yake katika safari ya kwenda kuwa mwanaume, achaaa!!,,, ulimwwngu wenu ni tofauti na wetu na wenu, tafadhali acha hizi tabia.

Ewe mama, uchi wako wa kuuona ni mwanaume rijali usimpe.laana hii mtoto, kuna mimama hua naiona wanaoga na watoto wao wa kiume, hii ni kuvunja miiko.... unabadili nguo ukiwa uchi mbele ya mtoto wako wewe unaona kawaida lakini nikwambie tu ya kwamba unachofanya ni kumpa laana mtoto wako, huko mbele ukija sikia mtoto wako ni hanithi usije shtuka, huenda hata wanawake wakivua nguo mbele yake hataweza kupata hisia yoyote maana kisaikolojia anaona kila mwanamke akiwa uchi yupo sawa na mama yake.

ntaendela.....
 
Unawazungumzia wale mom i'm going i want to use ur car...hahahaha kipenz cha mama mwisho wake mboga wali nazi
 
Kijana kachafuka kidogo kwenye michezo anaenda kuogeshwa na dada na kubadilishwa nguo huku dada akipata matusi ya nguoni kuwa uchafu wake asimwambukize mtoto ,

Mtoto wa kiume anaitwa mydear sijui sweet balaa tupu
 
Nae mtoto anaanza kujiona kama mfalme .... hawa huwa wanaujua uhalisia kwa maumivu makali sana
 
Mwanaume lazima uwe mwamba

Nakumbuka watoto wakiume ambao ni lege lege huwa tunawaita watoto wa mama
 
Niliwahi kucheki youtube hawa huwa wanaitwa "mamas boy" wanawake huwa wanawalalamikia sana kwenye mahusiano.... karibu kila kitu kwenye mahusiano yao lazima wawataarifu mama zao, pia wanachapiwa sana kwa kuwa na tabia za kikike kike kama kususa
 
Sana sana kwa wamama ambao wanalea peke yao watoto wa kiume

Imefikia stage niseme tu kwamba baadhi ya wamama wanaolea watoto wao wa kiume hawana tofauti na mama kondoo anealea mtoto simba kwa malezi ya kikondoo.

Ndio tunajua kwamba mnawapenda watoto wenu lakini muwe mnakumbuka hao watoto ni wa kiume na ulimwengu wa wanaume ni tofauti na wenu wa kike, huyo mtoto ukimlea tofauti na ulimwengu wa wanaume inaweza kumletea matatizo mengi sana.

Nashangaa wanawake wanaopenda kuremba remba watoto wao kikike kike, mtoto nae anaanza kuzoea, hii ni hatari sana kwenye ulimwengu wetu wa wanaume, mtoto wako anaweza kuamsha hisia za baadhi ya wanaume wamuone kama wa kike wanaanza kumtongoza.

Mtoto wako akipigwa na mwenzake ambae unaona kabisa wanalingana vingi, usimfungie ndani kujidanganya unamlinda, hilo ni kosa katika ulimwengu wetu wa wanaume! mwambie aende ku deal na hio situation, huu ulimwengu wetu wa wanaume kuna ubabe sana aisee, huku hakuna maneno mengi ukilemaa unafumuliwa mangumi na wengine wakijua huna nguvu nao wanakuja kujipigia kwako,, ipo siku huyo mwanao atakuwa mkubwa aende hata boarding huko, wenzake watakuwa wanampasua mpaka basi.

Jaribu kumtaftia mtu wa karibu mwanaume awe kama father figure, anaweza kuwa kaka yako, mdogo wako wa kiume, ndugu unaemwamini au hata ukijaaliwa awe boyfriend ama mme wako mpya,,,, amini usiamini hii ina impact kubwa sana kwake.

Huyo mtoto ni mwanaume wewe ni mwanamke, muone kama kaka au baba yako, kuna hii tabia ya wamama kupenda kulala na watoto wao waliozidi hata miaka sita, hii sio nzuri kwa makuzi ya mtoto wa kiume hata kidogo,,, mtoto wa kiume kafika miaka sita unamuogesha ?? hebu acha hizi tabia tafadhali,,, bora hata uwe unamwacha awe anajiogesha ila unachungulia.., hivi vitu vinaharibu saikolojia yake katika safari ya kwenda kuwa mwanaume, achaaa!!,,, ulimwwngu wenu ni tofauti na wetu na wenu, tafadhali acha hizi tabia.

Ewe mama, uchi wako wa kuuona ni mwanaume rijali usimpe.laana hii mtoto, kuna mimama hua naiona wanaoga na watoto wao wa kiume, hii ni kuvunja miiko.... unabadili nguo ukiwa uchi mbele ya mtoto wako wewe unaona kawaida lakini nikwambie tu ya kwamba unachofanya ni kumpa laana mtoto wako, huko mbele ukija sikia mtoto wako ni hanithi usije shtuka, huenda hata wanawake wakivua nguo mbele yake hataweza kupata hisia yoyote maana kisaikolojia anaona kila mwanamke akiwa uchi yupo sawa na mama yake.

ntaendela.....
Mtoto wa kiume anaogeshwa na dada wa kazi au jirani wa kike. Wakati anamuogesha jembe lazima apate stimu.
 
Back
Top Bottom