Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

Wanawake hawapendi kabisa six packs wanataka hela jamani six packs waachieni walinzi na mabauncer some times mange kimambe anaongea sense sana
 
View attachment 338783 View attachment 338784 View attachment 338785

Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuhangaikia kuwa na six packs,yaani kwa sasa ukitembea kwenye saloon zenye kutengeneza kucha na yale maeneo ya gym wamejaa sana wanaume wenye miili mikubwa na wanavizia wamama wanaokwenda kutengeneza kucha na wale wanaokwenda kupunguza matumbo yao gym

Kwa sasa vijana wengi mjini wanajichubua sana mpaka inakuwa hakuna tofauti na dada zao.Vijana mpaka wanaiba makopo ya mikorogo ya dada zao.Unakuta mtu mnyakyusa wa Mbeya tena Tukuyu ndani ndani kwa kina Mwakalindile na kina Mwakajanga lkn mweupe usoni kama anatoka ukoo mmoja na Shy Rose Bhanji.Mpaka imefikia mwanaume anashindana kwa makopo ya mikorogo na dada zake

Jamani wakaka wa mjinj na hasa Dsm hebu achaneni na mambo ya mikorogo sijui mambo ya six packs,kuna namna nyingi za kuonekana mwanaume "wa haja" si lazima upendwe kwa mkorogo na six packs.Hizi ni salamu kwa wanaume wa Dsm maskani yao na warumi na dada yangu Nifah
Sihitaji six pac wakati mtaani niko na 2 pac mtu wangu.

Ati six pac, heavy weight, uliskia Nahitaji nguvu za kung'oa mpaka reli?
 
Sina six packs ila nina dawa ya warembo wa mjini "Money" Tena wakitaka nawatundikia drip
 
Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?
1460821107637.jpg
 
Kama huyu mchicha mwiba?
 

Attachments

  • wp_ss_20160321_0001.png
    wp_ss_20160321_0001.png
    65.7 KB · Views: 69
"aliyeandika hii mada ni super akili kubwaz you know? Kitambi na sura nyeusi ndio mabebez wanazimiaga" 😀
 
Mburulaz aka haters wote mlio jifanya kuponda pamoja na huyu aliye weka post , ni kwamba mna dhambi za vitambi, mademu zenu hawawazimii, sisi tukitaka tuna weza kula ma demu zenu na wakatupa hizo pesa mnazo wahonga , so mnabaki kuwa double looses tuu , ina uma eeh? hahahahaha ,Jinyongeni
 

Attachments

  • mantobeposed.jpg
    mantobeposed.jpg
    28.1 KB · Views: 71
  • MAtes1sq.jpg
    MAtes1sq.jpg
    40.5 KB · Views: 72
Back
Top Bottom