Sina muda na mali za mwanaume and I can't date broke as* either.
wanawake awajui ni nini hasa wanaitaji.Oh okay...ila that doesn't sound like what your message potrayed,wewe ulivyosema mwanaume awe na pesa..ulishalitengeneza hilo kichwani maanake muda na hiyo pesa unao. Money ain't everything honey...ni makaratasi tu hayo na yanatafutwa. Cha mtu mavi***
siku sio nyingi pressure na kisukari vitakunyemelea.Kuna mambo ambayo yanafanywa na watu wasio na kazi au wanaoishi kwa pesa za urithi. Naamka sa 5:00am kwenda kazin then natoka sa 3:00pm . Hadi nifike nyumbani ni sa5:00 pm. Naangalia biashara zangu zinaendaje na mifugo angalau sa7:00 pm ndio nakuwa free, naoga na mda wa kuangalia taarifa za habari unakuwa umefika, baada ya hapo ni chakula na kulala. Nitapata wap muda wa kuwaza six parts???
Duc In Altum.
Ni ngumu sana , kwanza nina kg52 at the age of 31 n pili natumia saa moja kwa shughuli za bustan ambazo zinanitoa jashosiku sio nyingi pressure na kisukari vitakunyemelea.
Pesa za urithi ndiyo zilizo mtoa Mohammed Gulam Dewji who is a young richest Tanzanian businessman, entrepreneur today na akaongeza revenue at 30% from the day mzazi wake amefariki,urithi ni mtaji low thinkers watawaza kama wewe,wewe jishaue [emoji845]Kuna mambo ambayo yanafanywa na watu wasio na kazi au wanaoishi kwa pesa za urithi. Naamka sa 5:00am kwenda kazin then natoka sa 3:00pm . Hadi nifike nyumbani ni sa5:00 pm. Naangalia biashara zangu zinaendaje na mifugo angalau sa7:00 pm ndio nakuwa free, naoga na mda wa kuangalia taarifa za habari unakuwa umefika, baada ya hapo ni chakula na kulala. Nitapata wap muda wa kuwaza six parts???
Duc In Altum.
HihihihiiiiiiioWe unatutafutia nini Lakini?? Kama tukijichubua wewe inakuhusu nini mi cpendi kuwa mweusi na pia wadada wa hapa mjini haswa wenye fwedha wanapenda ma hb na wanaume weupe tu,sasa sisi weusi tuende wapi?mtu mzima na akili zako upo mjini hujui kwanini tunajichubua?
We wenye Six pack huwapendi?
Maziwa unachanganya na powderSix pack ndiyo kinywaji gani tena jamani wakuu.
Hahahaaaa sasa kipi ni kipi mkuu?Nifah mademu wa aina yako wenye mtazamo wa namna hii huwa mnakuja kutoka na jamaa kapuku tu, ila hapa utaandika kila sifa za mwanaume umpendaye.
Though the fact is:
Karne hii hakuna mambo ya mvuto sijuwi muonekano,hivi vitu nowdays are last preferably category eti six pack, eti model,eti handsome.... Dume la kweli mkwanja kwanza how well off he is,at the same time kwa hali ilivyo hakuna mapenzi ya dhati siku hizi, hapendwi mtu inapendwa pochi yako[emoji384] [emoji385] [emoji388]
We are all on the same page nifah, ila nimeshawahi kuwaona wanawake wenye mithili ya hivi, kuwa na matarajio yakuolewa na mtu mwenye uwezo sana na mwisho wa siku anaangukia kuolewa na mtu wa kawaida,Hahahaaaa sasa kipi ni kipi mkuu?
Unaniponda huku unakubaliana nami!
Lol
Hata hivyo tuwe serious katika hili.
Hivi mimi nikichagua sura wanangu waje kuishi vipi?
Kweli watoto waishi maisha mabovu sababu ya upumbavu wangu?
Hilo halitowezekana,mwanaume lazima ujipange.
Sura atasifiwa mama yako kwa kuwa na kijana handsome, ila mimi nataka kusifiwa kwa kuwa na mume mwenye familia yenye maisha bora.
Hahaha RR wewe si unaijua ile "body type" yangu amazing sana. Kitambi labda ukipatie ndani ya ndoa, sio sasa hivi tu una mgutambi hugooo duh haipendezi. Ila haya mambo hayatabiriki bana, unaweza jikuta Umefika bei kwa body type ambayo hata hujawahi kuiwaza. After all, what matters the most (to HS) is what I see in you. Then tunahamia kwenye bonusKuna miili na umri wala hutumii nguvu kuwa na six pack.....unaweza kuwa na six pack na hela juu,tatizo wengi wetu hela zinakuja age ambayo kuwa na six pack ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano....hamna anaependa kitambi si mwanamke si mwanaume....hivi Heaven Sent ukiambiwa uchague wanaume wawili wote wana pesa mmoja mkitambi huko mwingine kanyooka na six pack ipo utachagua yupi kwa vigezo hivi?
Akiwa na pesa halafu hakukuni vizuri utatulia wewe kweli!! Acha uongo kuishi na MTU humpendi unaishi nae kwa kumvumilia ni shidaaSix packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?
hahah...sahihi mkuu umenipatia maana nzuri japo wakiendelea na ile pia inabidi ihusike!Natumaini unamaanisha tuwaombee
Heaven Sent ulipoandika tu hii sentensi "una mgutambi hugoo" nimejuwa tu wewe ni kabila gani na unatokea wapi...Haya Segito wasalimie kina MwagitoHahaha RR wewe si unaijua ile "body type" yangu amazing sana. Kitambi labda ukipatie ndani ya ndoa, sio sasa hivi tu una mgutambi hugooo duh haipendezi. Ila haya mambo hayatabiriki bana, unaweza jikuta Umefika bei kwa body type ambayo hata hujawahi kuiwaza. After all, what matters the most (to HS) is what I see in you. Then tunahamia kwenye bonus
Hahaha Hujakosea Sanaaaa, hao ni majirani zangu lol.Heaven Sent ulipoandika tu hii sentensi "una mgutambi hugoo" nimejuwa tu wewe ni kabila gani na unatokea wapi...Haya Segito wasalimie kina Mwagito
.......A broke as* kama naniliu muuza vitumbua!Sina muda na mali za mwanaume and I can't date broke as* either.