Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?
Yes WTF ni kweli kabisa Kwa kuthibitisha maneno yako
ImageUploadedByJamiiForums1460742732.234892.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1460742732.234892.jpg
 
Anazo pesa ana majumba na miradi mikubwa balaa...lakini ana character za akina Jacky Pemba,womanizer wa kufa mtu....Haya mambo ni so unpredictable
Sio wote wenye vitu hivyo ni malimbukeni kama huyo Jacky.
Wapo wanaume wenye pesa zao na stara zao.
 
Stil ni unpredictable....Hatahivyo,kusubiria vitu ready made,it is so low of a today's world woman.
Sina muda na mali za mwanaume and I can't date broke as* either.
 
Six Packs nyingi siku hizi zinamung'unywa hapa Mjini, Kinondoni ndo gulio lao tena wanakunjwa na Vimbau mbau! Wabeba vyuma muwe makin
 
Barafu
Kwa habari ya kujichubua sawa sio KTU kizur kwa Mtoto wa kiume hata wa kike coz inabid ujikubali na rang yako!!

Hapo kwenye six pack !! Mwanaume lazma au inapendeza uwe na mwil wa kiume unakuaje umelegea tumbo kama mwanamke!! Mwanaume uwe na muscle bwana!! Tutumua hata mkisimama na mke wako tofauti ya kimiili ionekane sio unakua na mwili legelege!!
Nahis naww utakua manyama uzembe ndo maana unadis six pack
Mkuu sijakataa umuhimu wa Six parts,mimi nasemea wanaozitumia kutafuta wamama watu wazima
 
Sina muda na mali za mwanaume and I can't date broke as* either.
Oh okay...ila that doesn't sound like what your message potrayed,wewe ulivyosema mwanaume awe na pesa..ulishalitengeneza hilo kichwani maanake muda na hiyo pesa unao. Money ain't everything honey...ni makaratasi tu hayo na yanatafutwa. Cha mtu mavi***
 
Mtoa mada naona wivu umekujaa, kwani ni kosa kukeep fit mwili jamani?
 
Oh okay...ila that doesn't sound like what your message potrayed,wewe ulivyosema mwanaume awe na pesa..ulishalitengeneza hilo kichwani maanake muda na hiyo pesa unao. Money ain't everything honey...ni makaratasi tu hayo na yanatafutwa. Cha mtu mavi***
Hahahaaaaa kwahiyo wewe utadate na broke kisa ana six packs?
Mimi hapana aisee....
Hapa tuko na interests tofauti,kila mtu abaki na msimamo wake.
Cheers
 
Six Packs nyingi siku hizi zinamung'unywa hapa Mjini, Kinondoni ndo gulio lao tena wanakunjwa na Vimbau mbau! Wabeba vyuma muwe makin
Mhhhhhh huu ni msiba jamani,wala sio la kuchekesha hili.
 
Kwa mwanaume mwenye kutafuta maendeleo,hana muda na six pack wala kuchichubua.!
 
Back
Top Bottom