Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mmmh noted [emoji134] [emoji134] [emoji134]I guess so. Mwanamke fit ana utamu wake ati.
Mmmh noted [emoji134] [emoji134] [emoji134]I guess so. Mwanamke fit ana utamu wake ati.
Mmmh noted [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Dunia yao wenye hela ni wenye vitambi tu.Hivi hakuna walio na pochi, miradi, mjengo na six pack vile vile?
Mie tena, I'm always confident in myself. I don't hit the gym, afu nashukuru Mungu nina kimwili ambacho hakinisumbui lol[emoji126] [emoji126] [emoji85] [emoji85]But I am not saying uanze kwenda gym.
Be confident in yourself. That in itself is very attractive kwa mwanaume.
Barafu
Kwa habari ya kujichubua sawa sio KTU kizur kwa Mtoto wa kiume hata wa kike coz inabid ujikubali na rang yako!!
Hapo kwenye six pack !! Mwanaume lazma au inapendeza uwe na mwil wa kiume unakuaje umelegea tumbo kama mwanamke!! Mwanaume uwe na muscle bwana!! Tutumua hata mkisimama na mke wako tofauti ya kimiili ionekane sio unakua na mwili legelege!!
Nahis naww utakua manyama uzembe ndo maana unadis six pack
Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?