cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,634
Kitu pesa.Huyo dada mwambie kuhusu weupe au six pack kama atakuelewa
Sent from my XT1080 using JamiiForums mobile app
Kitu pesa.Huyo dada mwambie kuhusu weupe au six pack kama atakuelewa
Kukaa kwako mbali kunakufanya utoke kwako 5am kusikufanye uone wanaofanya mazoezi hawana kazi. Mimi naamka 6am au 7am naweza kupiga push ups/sit ups for half an hour then 8.30am niko ofisini. Jioni natoka 5.30pm then 8pm nipo kwenye basketball court. Kufanya mazoezi sio kukosa kazi ni mpangilio tu. Wapo wengi tunawaacha Bar wanakunywa sisi tunaenda jogging.Kuna mambo ambayo yanafanywa na watu wasio na kazi au wanaoishi kwa pesa za urithi. Naamka sa 5:00am kwenda kazin then natoka sa 3:00pm . Hadi nifike nyumbani ni sa5:00 pm. Naangalia biashara zangu zinaendaje na mifugo angalau sa7:00 pm ndio nakuwa free, naoga na mda wa kuangalia taarifa za habari unakuwa umefika, baada ya hapo ni chakula na kulala. Nitapata wap muda wa kuwaza six parts???
Duc In Altum.
Apo ndo mnapotupotezea vijana wetu..Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?
Mimi napenda six packs. Sio mwanaume ana kakifua kama
Njiwa ukikalalia tuu kanakoroma kama redio imeisha betri.
Na six packs isiwe ya kutengeneza kila siku eti ndio pesa hatafuti tena , afanye kazi kama kawaida.
Mku Themanace anace ndio wewe nini kwenye hizi picha??Maana mmefanana na hizo picha kwa juu...naona wazee wa six parts mnajifagiliaYes mwanamke utataka pesa , utapata buzi lako au a billionaire mzee anaye kupa kila kitu , ila kuna kingine ambacho roho inapenda kukishika, kukupapasa na kukikodolea macho na unaki kosa ,matokoe yake unakua kua so moody ,sad and lonely , ndio hapo inakuaja suala la six pax, huyo huyo anaye kupa pesa ndio hiyo hiyo pesa unakuja nipa mimi kwa kunihonga , sababu uta lazimisha nikupe pushups unazo zikosa kwa huyo anaye kupa pesa , kwa pesa yoyote ,sasa nani a winner hapo?,
Hatufanyi mazoezi kwa kutafuta wanawake,tunafanya kama hobby ambayo ina benefits za kutuweka fit kiafya, suala wanawake sio lazima kuwa na six pacs , wako wanawake wengi tuu ,hawa wenye kudai wanapenda pesa wanagawa kwa kuhonga hata kwa asiye na six pacs ( sio na kitambi) , maradi tuu ana onyeshwa pepo wakiwa kwenye 6 kwa 6.
So madume mnao feel so insecure mkiona madume wengine wana six pacs ,acheni wivu, piga zoezi, push ups na squats pamoja na diaet ina ondoa hicho kitambi chako, huitaji kuangaika na situps .
Tuta wachapia sana mademu zenu ,maana mnanzisha wenywe kuanza sakama watu bila sababu kw akuwaita majina ,sasa tuta fanya kweli ili mjiue kabisa.
Mku Themanace anace ndio wewe nini kwenye hizi picha??Maana mmefanana na hizo picha kwa juu...naona wazee wa six parts mnajifagilia
Huwezi kua na zo sababu umri wako hauruhusu, yes tafuta pesa na hakuna asiye tafuta pesa, kama hauna scial life hilo ni tatizo kwako na sio afya, lazima ujipe muda wa ku realx , sio muda wote uko bussy , wakati kumbe una kitu kinginge una cho kipenda unakifanya huku uki pretend kwamba huna haja ya six pacs.Tuachei wenywe tulio nazo , huwezi jua labda wapenzi yenu wana wapenda sababu ya pesa ila miili yao ina burudishwa na sisi , sio lazima upete kila kitu, una weza pata ukawa na pesa na ukakamata mrembo mkali anaye kuoneysha mapenzi, kumbe ana chepuka na mimi na labda hiyo pesa ndio tunayo party nayo, .So jaribu kua na vyote ,again nime sha sema sio lazima six pacs ni ukiwa fit na flat tummy sio mbaya, wengine tuko na turally hatuitaji ku shinda gym kusipata workout ya 30 mn ina tutosha ku zi keep ,s o wewe kama una kitambi cha biar na pesa , basi jua kuna uwezekani tuna kuibia mali zako.six packs haziwez kuwa kipaumbele cha maisha yangu maana mwanangu wa miaka miwili akikua hawezi kuja kiridhi six packs . Ndio maana vijana wengi maisha yanatushinda kwa sababu yakutoa vipaumbele kwa mambo yasiyo na msingi wala umuhimu. Ni muhim kufanya zoez kwa afya ila sio kufanya zoez kutafuta kitu ambacho hakina manufaa yeyote.
Duc In Altum.
Mkuu age matters....nilipokuwa in my late teens na early twenties zilikuwepo tu bila kutafuta ila age sasa hivi imeenda zinapotea tu zenyewe....kwahio usiseme eti watu wanaweka vipaumbele wengine lifestyle tu, ushawaona wale wabeba magunia tandale au wasukuma mkokoteni? unafikiri wale six packs wamezitafuta? Halafu unafikiri wanaofanya mazoezi hawafanyi kazi? Tembea basi kwenye gym kama Colleseum pale uone watu wanaokuja kufanya mazoezi halafu useme hawana kazi, narudia tena likukae kichwani,kufanya mazoezi sio kukosa kazi ni mipangilio tu. Mo Dewji alisema anafanyakazi 18hrs sometimes lakini anaenda gym saa saba mchana kama sikosei!!! Ni mipangilio tu,jipange. Btw sina six packs kwahio usifikiri natetea nakupa tu hali halisisix packs haziwez kuwa kipaumbele cha maisha yangu maana mwanangu wa miaka miwili akikua hawezi kuja kiridhi six packs . Ndio maana vijana wengi maisha yanatushinda kwa sababu yakutoa vipaumbele kwa mambo yasiyo na msingi wala umuhimu. Ni muhim kufanya zoez kwa afya ila sio kufanya zoez kutafuta kitu ambacho hakina manufaa yeyote.
Duc In Altum.
Wewe ni mnyakyusa? maana wanyakyusa ndo zao chumba kikubwa utasikia wanasema guchumba gukubwa je [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha RR wewe si unaijua ile "body type" yangu amazing sana. Kitambi labda ukipatie ndani ya ndoa, sio sasa hivi tu una mgutambi hugooo duh haipendezi. Ila haya mambo hayatabiriki bana, unaweza jikuta Umefika bei kwa body type ambayo hata hujawahi kuiwaza. After all, what matters the most (to HS) is what I see in you. Then tunahamia kwenye bonus
kaka umeandika point sana..... tatizo watu hawafikirii kuwa kuna time ya kazi na kufanya mambo yako..... ukiamka saa 5 am ukapga mazoezi then 8 am uko ofisini.. hapo umekoswa kazi?Kukaa kwako mbali kunakufanya utoke kwako 5am kusikufanye uone wanaofanya mazoezi hawana kazi. Mimi naamka 6am au 7am naweza kupiga push ups/sit ups for half an hour then 8.30am niko ofisini. Jioni natoka 5.30pm then 8pm nipo kwenye basketball court. Kufanya mazoezi sio kukosa kazi ni mpangilio tu. Wapo wengi tunawaacha Bar wanakunywa sisi tunaenda jogging.