Mkuu age matters....nilipokuwa in my late teens na early twenties zilikuwepo tu bila kutafuta ila age sasa hivi imeenda zinapotea tu zenyewe....kwahio usiseme eti watu wanaweka vipaumbele wengine lifestyle tu, ushawaona wale wabeba magunia tandale au wasukuma mkokoteni? unafikiri wale six packs wamezitafuta? Halafu unafikiri wanaofanya mazoezi hawafanyi kazi? Tembea basi kwenye gym kama Colleseum pale uone watu wanaokuja kufanya mazoezi halafu useme hawana kazi, narudia tena likukae kichwani,kufanya mazoezi sio kukosa kazi ni mipangilio tu. Mo Dewji alisema anafanyakazi 18hrs sometimes lakini anaenda gym saa saba mchana kama sikosei!!! Ni mipangilio tu,jipange. Btw sina six packs kwahio usifikiri natetea nakupa tu hali halisi