Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

Wanaume wenye "six packs" na wanaojichubua

View attachment 338783 View attachment 338784 View attachment 338785

Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kuhangaikia kuwa na six packs,yaani kwa sasa ukitembea kwenye saloon zenye kutengeneza kucha na yale maeneo ya gym wamejaa sana wanaume wenye miili mikubwa na wanavizia wamama wanaokwenda kutengeneza kucha na wale wanaokwenda kupunguza matumbo yao gym

Kwa sasa vijana wengi mjini wanajichubua sana mpaka inakuwa hakuna tofauti na dada zao.Vijana mpaka wanaiba makopo ya mikorogo ya dada zao.Unakuta mtu mnyakyusa wa Mbeya tena Tukuyu ndani ndani kwa kina Mwakalindile na kina Mwakajanga lkn mweupe usoni kama anatoka ukoo mmoja na Shy Rose Bhanji.Mpaka imefikia mwanaume anashindana kwa makopo ya mikorogo na dada zake

Jamani wakaka wa mjinj na hasa Dsm hebu achaneni na mambo ya mikorogo sijui mambo ya six packs,kuna namna nyingi za kuonekana mwanaume "wa haja" si lazima upendwe kwa mkorogo na six packs.Hizi ni salamu kwa wanaume wa Dsm maskani yao na warumi na dada yangu Nifah
wanaume wa dar!hawana huo ulimbukeni! labda wavamizi toka bara! na pia ukiamua kukanya tabia mbaya uwe unazikanya tabia zote kwa ujumla wake! kwa wadada na wakaka! mimi naona hili swala la kujichubua linawahusu wote! ushauli ulio sahau au labda hukuliona swala hili la wanawake mnapiga sana masterbation yani punyeto! mpaka mna penis bandia! acheni kujichuwa ni athali sana inapekea kuwa malesbians! mtoa maada sidhani kama umeshauli uzito wa matatizo yanayo tuzunguka!
 
Hahahaaaaa kwahiyo wewe utadate na broke kisa ana six packs?
Mimi hapana aisee....
Hapa tuko na interests tofauti,kila mtu abaki na msimamo wake.
Cheers
Nifah nakukubali kwa kukataa unafiki uchumi ukiyumba mtoto atamkana hata mamayake! Hata mimi mwanaume kama nilikuwa na appointment mfuko ukiyumba hata hamu inadrop almost to zero!
 
Nifah nakukubali kwa kukataa unafiki uchumi ukiyumba mtoto atamkana hata mamayake! Hata mimi mwanaume kama nilikuwa na appointment mfuko ukiyumba hata hamu inadrop almost to zero!
Oh dear,asante kwa kunielewa.
Hizi mambo hazihitaji unafiki kabisa.
Hongera nawe kwa kuwa mkweli
Cheers
 
Typical wakanyaga tope. Wamekariri six packs tu.

Hawajui kitu kuhusu biceps, triceps, quads, traps, calves, serratus, flexors, extensors, etc.

Typical dumb shit. Dumbassness.
 
We unatutafutia nini Lakini?? Kama tukijichubua wewe inakuhusu nini mi cpendi kuwa mweusi na pia wadada wa hapa mjini haswa wenye fwedha wanapenda ma hb na wanaume weupe tu,sasa sisi weusi tuende wapi?mtu mzima na akili zako upo mjini hujui kwanini tunajichubua?
 
We unatutafutia nini Lakini?? Kama tukijichubua wewe inakuhusu nini mi cpendi kuwa mweusi na pia wadada wa hapa mjini haswa wenye fwedha wanapenda ma hb na wanaume weupe tu,sasa sisi weusi tuende wapi?mtu mzima na akili zako upo mjini hujui kwanini tunajichubua?
Mhhhhhhhhh makubwa haya jamani!
 
Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?
Wewe ni visionary ledi*...
 
Kuna miili na umri wala hutumii nguvu kuwa na six pack.....unaweza kuwa na six pack na hela juu,tatizo wengi wetu hela zinakuja age ambayo kuwa na six pack ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano....hamna anaependa kitambi si mwanamke si mwanaume....hivi Heaven Sent ukiambiwa uchague wanaume wawili wote wana pesa mmoja mkitambi huko mwingine kanyooka na six pack ipo utachagua yupi kwa vigezo hivi?
 
Ama nini mtani?
Dua zako mtani weee,leo Mexime akinitumbua sijui nitaweka wapi sura yangu!
Hahahaah mtani Leo nakuombea dua mbaya ili niendelee kuwa juu.
Huwezi kukosa kwa kuweka sura.
 
Six packs,mikorogo sijui nini mbwembwe tu.
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa pochi na a/c yake bank inasoma sh ngapi?
Ana miradi mingapi?
Mjengo upo?
Six Packs huku mfukoni huna kitu...WTF?

Nifah mademu wa aina yako wenye mtazamo wa namna hii huwa mnakuja kutoka na jamaa kapuku tu, ila hapa utaandika kila sifa za mwanaume umpendaye.

Though the fact is:
Karne hii hakuna mambo ya mvuto sijuwi muonekano,hivi vitu nowdays are last preferably category eti six pack, eti model,eti handsome.... Dume la kweli mkwanja kwanza how well off he is,at the same time kwa hali ilivyo hakuna mapenzi ya dhati siku hizi, hapendwi mtu inapendwa pochi yako[emoji384] [emoji385] [emoji388]
 
Back
Top Bottom