RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,270
- 138,700
Hahahaaa Mie nimempa tu mfano, Mie kweli ni Bonge ila ni asili yangu sijawahi kukonda na ninacheza Mpira, Naogelea na pia Napiga sarakasi hata kwa karate Mie ni mwepesi usipime, so usione Bonge ukamchukulia poa kwamba kafuga kitambi
Acha kujipa moyo wewe....bonge gani umemuona anacheza mpira au karate ipasavyo