Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

Nenda maktaba, chukua vitabu, soma.

Ingia Google au Bing, andika 'calories and foods' na utapata makala na maandiko kibao kuhusu aina za vyakula na calories zake na aina za mazoezi na calories unazounguza.

Au unaweza kuingia YouTube na kuandika 'exercise, foods, and calories' na utapata video nyingi tu kuhusu hayo mambo.

It's not rocket science! The information is right there at your fingertips and just one click away.

easier said than done.
 
Kwangu unene na kitambi ni alama ya uvivu na uzembe.

Ova and out
 
Na ni alama ya utapiamlo pia kuna baadhi ya nchi zilizoendelea hiyo ni moja ya sababu ya kunyimwa ajira.

Hahahahhh watakuja kukuambia kitambi kina sign ya kuwa na pesa sasa ukianza kuwatajia kwenye pesa halafu hawana vitambi watang'aka balaa.
 
Kwani wewe wakati unamuuliza ulipenda akueleze nini hasa?

Hahahaaa watu wavivu sana aisee.

Dizaini wanataka hadi information washushiwe toka sijui mbinguni.

Hata kutumia resources zilizopo [kama intaneti] kujiongezea maarifa ni kama hawawezi.

Lakini kutwa kucha kushinda facebook na sijui Instagram huko kwenye matimu ya kuongezeana ujinga.
 
Hahahaaa watu wavivu sana aisee.

Dizaini wanataka hadi information washushiwe toka sijui mbinguni.

Hata kutumia resources zilizopo [kama intaneti] kujiongezea maarifa ni kama hawawezi.

Lakini kutwa kucha kushinda facebook na sijui Instagram huko kwenye matimu ya kuongezeana ujinga.

Lakini uzuri wa JF jibu unampa mwingine na wanaolifanyia kazi ni wengine, ndio maana online visitors JF ni wengi wanachota maarifa wanasepa kimyakimya.
 
Vipi kwa wanawake wenye vitambi nao....
 
11201175_1599181533653930_5930311301020325493_n.jpg
kama huyu au?
 
hapo kwenye calories ndio nauliza nitajuaje kuwa hiki chakula kina calories ngapi na nikimbie km ngapi kuburn calories ngapi?? najua vyakula vingi vya makopo wanaandika calories, sasa huu wali na maharage nanunua kwa mangi nitajuaje ni calories ngapi?

Kuna program ya Androi (runtstic) free from google play, unaeza download ukatumia, mm ninatumia inaweza kukupimia distance uliokimbia na calories ulizo burn na kukupa statistics zako za week , month imenisaidia sana kuwekakumbu zangu za mazoezi ya week kwani kwa week huwa nakimbia siku 3 tu na lazima nifiishe km nilizojipangia au zaidi
 
Mi sina kitambi na nachukia wanawake wenye vitambi
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom