Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Kitambi ni dalili ya utapiamlo, ni ugonjwa. Ukishakua na kitambi ujue magonjwa nyemelezi kama presha na kisukari lazima yakuandame.
Ukishakua na hayo magonjwa nyemelezi ujue kitandani huwezi kufanya chochote maana yale mambo yanahitaji uwe na pumzi,moyo unapata kazi ya ziada kusukuma damu kwenda kwa mzee ili usukume nyama vizuri.
Ikishakua hivyo unajikua unajiweka kwenye hatari ya kupata mshituko wa moyo au kiharusi kwenye mechi na kufia kifuani kwa mwanamke na ukaleta aibu.