Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

bestito naomba uniambie hivi wanaume wenye vitambi wanakuwa wavivu wawapo uwanjani au inakuwaje best
wakikutana on bed inakua mission impossible aiseee!!! papuchi inakua imefichwaa na minyamaa teh teh
 
kwa kijana mdogo kitambi ni aibu ila ukishakuwa mtu mzima kukikwepa ni kazi sanaaa!

Kitambi kinakwepeka sana tu...
Kama umeshajijengea ratiba nzuri ya mazoezi kila siku na ukajiwekea discipline ya kula vizuri basi sahau kitambi...
Kwani kitambi kinasababishwa na nini??
 
bestito naomba uniambie hivi wanaume wenye vitambi wanakuwa wavivu wawapo uwanjani au inakuwaje best

best wapo wa aina mbil my diaa hahahah kuna wale wanaoendesha baskeli huku wamesimamiaa hahaha ni hatari utaomba poo..na kuna wale vitambi vimewaelemea hadi wanashindwa kupampu hao ni tatizo..ndo maana unaambiwa usikaririi ladyfuraha
 
Hahahahahhaaaaaaaaaaaaa aiseeee hebu cheki hizi picha uniaimbia kipi ni cha baiskeli na kipi ni mbbebeo KIT.jpg

RR.jpg

niambia kati ya hao wawili wa kushoto na kulia kipi ni baiskeli na kipi ini zege?
best wapo wa aina mbil my diaa hahahah kuna wale wanaoendesha baskeli huku wamesimamiaa hahaha ni hatari utaomba poo..na kuna wale vitambi vimewaelemea hadi wanashindwa kupampu hao ni tatizo..ndo maana unaambiwa usikaririi ladyfuraha
 
Hahahahahhaaaaaaaaaaaaa aiseeee hebu cheki hizi picha uniaimbia kipi ni cha baiskeli na kipi ni mbbebeo View attachment 261424

View attachment 261425

niambia kati ya hao wawili wa kushoto na kulia kipi ni baiskeli na kipi ini zege?
huyo mwenye suti akiisimamia baskeliii utaimba haleluyaa.. hilo la hapo juu kabla hajavua boxer atakua ameshaweseka na huo mtumbo hadi shughuli kwishaa
 
Kwa hiyo mwenye suti anaufundi zaidi ya wale wenzetu na siye
ananogesha ngoma mpaka watu wanadata bestito?

huyo mwenye suti akiisimamia baskeliii utaimba haleluyaa.. Hilo la hapo juu kabla hajavua boxer atakua ameshaweseka na huo mtumbo hadi shughuli kwishaa
 
Kwa hiyo mwenye suti anaufundi zaidi ya wale wenzetu na siye
ananogesha ngoma mpaka watu wanadata bestito?

yaani hawa watu bestito ni hatari usije ukawadharau hata kidogo..utajikuta unataja jina lako la utoto wakati wa mtanangee kwi kwii muulize kabangaa
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii mbavu zangu mie aisee asante kunijuza bestito
na wale wembamba nao wakoje kwenye ligi kuu ya bara nao?

eti kabanga nyie watu wenye kilo kiasi cha mbele mnauwezo wa kuhimili mpira unaongia wavuni apale kwenye mtanange au mkoje pls hebu usinifiche nambie?

Last edited by a moderator:

vile vyembamba vina kiburii bestisto wamejaaliwa lakini ni shidaa hawajui jins ya kutumia resource zao..vina gubu hahaaa wanajua kufukiaa mashimo tu miss chaga anasemaga dufuuuuu dufuuuu tayarii..hahahah mi sipo unamwita kabanga simueziiii byeee
 
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii aisee kweli leo ni somo tosha

nimemwita kistyle ili aje adhibitishe bestito usijali ndo nataka niandae SOMO hapo baadaye kwani najifunza hapa mwaya si unajua mm niko kwenye kona ya kufunda ila leo nimefundwa mie

hahahahha lady furaha umenichekeshaaa kweli kweli..haya kila lakheri kungwii wanguuu
 
unaweza kuwa huna kitambi lakini una ugonjwa sugu yote mambo tu wenye vitambi hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wasio na vitambi utawakuta wanamadeni
 
hata wenye vitambi wanaweza kuwa na magonjwa sugu. lets assume other factors remain constant.
 
Back
Top Bottom