Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii mbavu zangu mie aisee asante kunijuza bestito
na wale wembamba nao wakoje kwenye ligi kuu ya bara nao?


eti kabanga nyie watu wenye kilo kiasi cha mbele mnauwezo wa kuhimili mpira unaongia wavuni apale kwenye mtanange au mkoje pls hebu usinifiche nambie?
ladyfurahia anachosema charty ni sasa,amekutana nalo hilo....
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiii aisee kweli leo ni somo tosha

nimemwita kistyle ili aje adhibitishe bestito usijali ndo nataka niandae SOMO hapo baadaye kwani najifunza hapa mwaya si unajua mm niko kwenye kona ya kufunda ila leo nimefundwa mie

binamu nipo kwenye mfungo, ukiandaa mada unite.....
 
Mnatunyanyapaa wenye vitambi sio fair jamani na sisi pia binadamu na vidushe vyetu
 
endeleeni kudharau hivyohivyo.....ipo siku mtasimulia tofauti.....
 
say no tu ubongeeee, na vitambi.

Kuna baadhi ya wanaume hawajipendi kabisa afya zao..kazi kufakamia bia na nyama tu, no mazoezi no what..!

Kina mama watasingizia uzazi wewe je..Ulafi sio!
 
Kitambi ni dalili ya utapiamlo, ni ugonjwa. Ukishakua na kitambi ujue magonjwa nyemelezi kama presha na kisukari lazima yakuandame.

Ukishakua na hayo magonjwa nyemelezi ujue kitandani huwezi kufanya chochote maana yale mambo yanahitaji uwe na pumzi,moyo unapata kazi ya ziada kusukuma damu kwenda kwa mzee ili usukume nyama vizuri.

Ikishakua hivyo unajikua unajiweka kwenye hatari ya kupata mshituko wa moyo au kiharusi kwenye mechi na kufia kifuani kwa mwanamke na ukaleta aibu.

sio dalili ya utapiamlo ni utapiamlo au overfeeding.hatar cna hii
 
yaan kuna aina ya vitambi hata ufanyaje havitoki labda kw maombi ya mchungaj gwajima aliezimia akihojiwa.

shida ya kitambi ni pumzi kukata mapema.mtu unahema km unataka kukata roho.mwendo km gar imekatika center bolt
 
yaan kuna aina ya vitambi hata ufanyaje havitoki labda kw maombi ya mchungaj gwajima aliezimia akihojiwa.

shida ya kitambi ni pumzi kukata mapema.mtu unahema km unataka kukata roho.mwendo km gar imekatika center bolt

Hahahaaaa yaani nimecheka!!
 
Back
Top Bottom