Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
naona unajaribu kumsema shemeji yako mama terry..teh th teh
Aise mwambie shem apunguze kitambi afurahie mambo
naona unajaribu kumsema shemeji yako mama terry..teh th teh
Yani bora hata usitake hicho kitambi,sikuhizi wimbi la vitambi limeongezeka. Unakuta mwanaume kitambi kinaning'inia mpaka mvuto unapotea
Kwanza nina mgogoro na mchumba wangu nataka nimpige chini maana anawahi kuchoka na alinichagua akidhani na Mie ni mvivu kama yeye, kumbe kakutana na ambacho hakutegemea mpaka leo akiniangalia haamini matokeo
Mbaya zaidi utamkuta na mwanamke naye ana mtumbo wa offer za bia na kula minguruwe hovyo basi kama tembo watoto wako barabarani.
hahahah ona sasa unavyomsingizia mwenzio akati ww zembee..!! yeye ndo kagundua huezii kitu wacha kufichaa
wakikutana on bed inakua mission impossible aiseee!!! papuchi inakua imefichwaa na minyamaa teh teh
Labda tufanye majaribio kwa vitendo maana nahisi mmekalili kisicho na ukweli, tatizo wanaume wenye vitambi ni wachache na wanahela sasa ninapo mpata demu ndani anafurahia mpaka anatosheka malavidavi maana ni msuguano kwa uchache lisaa limoja na nusu hapo nashusha cha kwanza, chapili sasa inategemea na uwezo wa demu akisema ametosheka nashusha, so akitoka ili shoga zake wasimchukulia bwana anazuga eti hawezi mambo anakitambi sio kweli tupo wenye vitambi na tunapiga mechi usiombe kukutanishwa utatamani kuomba sub
Hata kama mnapiga mzigo mnachosha kama hujui.Labda tufanye majaribio kwa vitendo maana nahisi mmekalili kisicho na ukweli, tatizo wanaume wenye vitambi ni wachache na wanahela sasa ninapo mpata demu ndani anafurahia mpaka anatosheka malavidavi maana ni msuguano kwa uchache lisaa hata limoja na nusu hapo nashusha cha kwanza, chapili sasa inategemea na uwezo wa demu akisema ametosheka nashusha, so akitoka ili shoga zake wasimchukulia bwana anazuga eti hawezi mambo anakitambi sio kweli tupo wenye vitambi na tunapiga mechi usiombe kukutanishwa utatamani kuomba sub
Mbaya zaidi utamkuta na mwanamke naye ana mtumbo wa offer za bia na kula minguruwe hovyo basi kama tembo watoto wako barabarani.
Hahahahhh watakuja kukuambia kitambi kina sign ya kuwa na pesa sasa ukianza kuwatajia kwenye pesa halafu hawana vitambi watang'aka balaa.
Hahahahhh watakuja kukuambia kitambi kina sign ya kuwa na pesa sasa ukianza kuwatajia kwenye pesa halafu hawana vitambi watang'aka balaa.
Pesa ya rushwa labda kama unaihangaikia kwa jasho kitambi kitatoka wapi
Ndugu kama unafuga mtumbo uonekane una pesa si kwa wanawake wa sasa, wenzako wanaijuwa hadi harufu ya pesa usijidanganye.