Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

mnapoongelea vitambi kuna mheshimiwa mtangaza nia hii inamhusu sana
 
mkuu nimekukubali kwa uwezo wako wa kuchungulia fursa, kila la heri.

Hahaaaa umeona eeh?? si siyo wa dotcom mkuu teh teh teh!! ila we FBI akyamama
 
Nipo....mambo vipi
Umetumia neno tunadharaulika, which means na wewe umo ndani yake

ram upo? naona hujanielewa, sijasema mimi ndo nina tumbo, jf kwa much know.
 
Last edited by a moderator:
Acha hao wa asili, wengi ni wa kujiendekeza na mabia yenu hayo alafu mazoezi hamtaki, mwisho wa siku hata kutuhudumia ipasavyo hamuwezi

Mimi sinywi bia wala soda labda rum na gin kidogo ndio natumia,
 
Sijui ni kwaninj unakataa wakati Mie ndio najifahamu na labda shahidi yangu ni demu Wangu haswa ndio anajua mziki Wangu sioni sababu kwanini unanibishia

niPM namba zake nimuulize ..........
 
duuu mi mtu wangu ana kitambi lakini akianza kunifanya hashuki aka babu havina mahusiano
Umewahi fanya na asiye na kitambi? kama jibu ni hapana basi unakosa ulinganifu hivyo unaweza kudhani jamaa anafanya sana kumbe sio lkn usijali maadamu we unaridhika hakuna shida na usifikiri vinginevyo
 
Umewahi fanya na asiye na kitambi? kama jibu ni hapana basi unakosa ulinganifu hivyo unaweza kudhani jamaa anafanya sana kumbe sio lkn usijali maadamu we unaridhika hakuna shida na usifikiri vinginevyo

Anaridhishwa na mwenye kitambi so akienda kwa asie na kitambi ni karaha tu
 
utafiti unasema wenye vitambi wana stamina sana katika yale mambo yetu kuliko wasio na vitambi!!vitambi woyeeeeeeeee

Si kweli.kitambi kinasababishwa na over eating. hasa kujizidishia excess fat na carbohydrate.ukishakuwa na excess fat lazima moyo uwe na kazi ngumu ya kusukuma damu! sexual contact inategemea sana msukumo wa damu kuelekea kwenye penis kwa 80% ili erection iwepo.So kwa namna yoyote ile kitambi ni tatizo.Si vyema kula bila kufanya kazi na kuunguza fats na carbohydrate ili ziwepo calories sahihi kwa matumizi ya mwili tu.KWA PAMOJA TUPIGE VITA VITAMBI.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom