Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

Hahahaaa watu wavivu sana aisee.

Dizaini wanataka hadi information washushiwe toka sijui mbinguni.

Hata kutumia resources zilizopo [kama intaneti] kujiongezea maarifa ni kama hawawezi.

Lakini kutwa kucha kushinda facebook na sijui Instagram huko kwenye matimu ya kuongezeana ujinga.

Kweli aisee! Na huko kote kama si kutafuta umbea basi michepuko. Mi nmekuelewa vema kabisa
 
Hahahahhh watakuja kukuambia kitambi kina sign ya kuwa na pesa sasa ukianza kuwatajia kwenye pesa halafu hawana vitambi watang'aka balaa.

Hayo ni mawazo ya watu kama wewe tu!Watu wenye vitambi hawanaga maneno hayo.Mmejipanga kama Barcelona kushambulia wenye vitambi!Watu kama wewe unachombeza tu ili wenzako" wajuaji"wapate uwanja mzuri wa kushambulia

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ebwanaeeeh!!! Nenda gym ....kama huna hela tengeneza vyuma nyumbani kwako

Itakusaidia kwa afya yako.

Ova and out.
 
Mkuu ukiwa na mpunga hata uwe na kitambi kiasi gani, hamna atakaekudharau
 
Siyo wote wengine tunajitambuwa miaka mingi iliyopita, sintokuwa na kitambi au kunenepeana hovyo maishani mwangu.

Tena mimi huwa nashangaa mtu unayetumia akili nyingi kufikiri is it possible kufutuka mtumbo kamba mimba? Huwa sielewi kwakweli.

Yani bora hata usitake hicho kitambi,sikuhizi wimbi la vitambi limeongezeka. Unakuta mwanaume kitambi kinaning'inia mpaka mvuto unapotea
 
Kitambi ni dalili ya utapiamlo, ni ugonjwa. Ukishakua na kitambi ujue magonjwa nyemelezi kama presha na kisukari lazima yakuandame.

Ukishakua na hayo magonjwa nyemelezi ujue kitandani huwezi kufanya chochote maana yale mambo yanahitaji uwe na pumzi,moyo unapata kazi ya ziada kusukuma damu kwenda kwa mzee ili usukume nyama vizuri.

Ikishakua hivyo unajikua unajiweka kwenye hatari ya kupata mshituko wa moyo au kiharusi kwenye mechi na kufia kifuani kwa mwanamke na ukaleta aibu.

Uko sahihi %100

I'm afraid watakaokuelewa ni wachache!
 
ila vitambi vingine wanakuaga na mziki mnene..duh

uje kukutana na mtu kama Mimi na Kitambi changu cha urithi ni lazima utaomba pool mziki wangu utawasahau hata masharobalo,
 
uje kukutana na mtu kama Mimi na Kitambi changu cha urithi ni lazima utaomba pool mziki wangu utawasahau hata masharobalo,

oiiii angalia usiheme hadii ukafaaa maana mambo yanaeza kukugeukaa
 
fanyeni mazoezi mpunguze vitambi hivyo maana mnakuwa wazembe hata nguvu za kupump mnakosa looo..... By the way tunawapenda sana

nyie wenyewe kila siku style ya kifo chamende shughuli hamuwezi alafu mnasingizia vitambi vyetu...mbona mchepuko haulalamiki tena sikuhizi umeanza kunihonga
 
Yani bora hata usitake hicho kitambi,sikuhizi wimbi la vitambi limeongezeka. Unakuta mwanaume kitambi kinaning'inia mpaka mvuto unapotea

naona unajaribu kumsema shemeji yako mama terry..teh th teh
 
oiiii angalia usiheme hadii ukafaaa maana mambo yanaeza kukugeukaa

Kwanza nina mgogoro na mchumba wangu nataka nimpige chini maana anawahi kuchoka na alinichagua akidhani na Mie ni mvivu kama yeye, kumbe kakutana na ambacho hakutegemea mpaka leo akiniangalia haamini matokeo
 
Back
Top Bottom