Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,437
nakuja sasa hivi
ila isiwe mambo mabaya
mi bado mdogo teh!!
Usijali, sisi vikongwe ndo almaaruf kwa kulea.
Tunalea lovely and responsibly......
nakuja sasa hivi
ila isiwe mambo mabaya
mi bado mdogo teh!!
Aisee!
Hommie, rudisha upanga wako alani. Imeandikwa auwaye upanga....??
mbona ghafla umekuwa mkali kupita ndimi za moto! hebu tulizana bana, sie tunakusuport kabisaaaaa in each every step u take!let me log out
mtajijuuuuuu!!
lakini Babu Dc
wao mbona wanachakachua?
chakachua uchakachuliwe,y wanawake
ndio tuwe wa kuumizwa tu daily?aakhaaa
haki sawa majukumu kwa wote!!ngoja Lady doctor aje anisaidie
mbona ghafla umekuwa mkali kupita ndimi za moto! hebu tulizana bana, sie tunakusuport kabisaaaaa in each every step u take!
Mume wa mtu ni thumu vivyo hivyo na mke wa mtu ni thumu. Lkn inasikitisha sana wanaume wanaotoka nje ya ndoa wakati mwingine hawana hata sababu ya kufanya hivi . Kuna wanawake wanatimiza wajibu wao vizuri sana kwa waume zao lkn bado mume huyo atatoka tu nje. Tena basi na huko nje anakokwenda wengine wanateswa sana na nyumba ndogo hata kupelekea kufanyishwa kazi kama watumwa. Nyumbani mwanaume huyo haoshi vyombo wala kufua nguo lkn akienda huko kwenye nyumba ndogo anafanya kazi zote na wala hakuna hayo sijui maneno mazuri au nini. Kwa upande mwingine kuna wanawake wanatoka nje ya ndoa huwezi kuamini walahi . Kuna kitu bado kinanishangaza juu ya baadhi ya wamama,nao hawana sababu za msingi zinazowafanya watoke nje . Pia nami nawapa hongera wanandoa waliodumu ktk uaminifu . Tubadiike tumche Mungu ridhika na ulie nae kama kuna unachofuata nje hebu jadili na mwenzio ili mkifanye
Unajua kuzaliwa mlemavu ni bahati mbaya bali kua mzinzi ni uchaguzi na si bahati mbaya. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Nakubaliana na wewe kaka yangu Dark City kua kuna kulamba galasa au mali. Ni vema sisi wanandoa tukatulia la kama tunaona tulichagua tukiwa bado na tongo tongo machoni basi na tuwaache hao tuliojikuta tunao ili sasa kwa vile tunaona vema tuchague upya ili tuweze kuishi maisha yasiyo na mashaka. Samahani kidogo nakua mkali unajua hatuwezi kuendelea kufuata kawaida ya ulimwengu kwa kisingizio tu eti wengi wanafanya just call a spade a spade and not otherwise eeh.Maisha siyo marahisi kiasi hicho mdogo wangu...
Mshukuru Mungu wako kama umejaliwa kupata King...kuna wengine wamelamba majoka...lol!!
Babu DC!!
mmmh ni wewe au?
Unajua kuzaliwa mlemavu ni bahati mbaya bali kua mzinzi ni uchaguzi na si bahati mbaya. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Nakubaliana na wewe kaka yangu Dark City kua kuna kulamba galasa au mali. Ni vema sisi wanandoa tukatulia la kama tunaona tulichagua tukiwa bado na tongo tongo machoni basi na tuwaache hao tuliojikuta tunao ili sasa kwa vile tunaona vema tuchague upya ili tuweze kuishi maisha yasiyo na mashaka. Samahani kidogo nakua mkali unajua hatuwezi kuendelea kufuata kawaida ya ulimwengu kwa kisingizio tu eti wengi wanafanya just call a spade a spade and not otherwise eeh.
Noted mkuuNdiyo maana nikasema mshukuru Mungu kama umebarikiwa......
Kunguni wa nyumba ya jirani ni ngumu kujua karaha yake...
Babu DC!!
Kunasababu lukuki zinazomfanya mwanaume atoke nje ya ndoa na naamini we mwanzisha uzi huu unazijua. Perfect couple ningumu sana kuipata. Unakuta mwanaume ana nguvu zaidi ya mkewe na anampenda sana mke wake; sasa kumsurutisha kitandani inakuwa sio vizuri, kwa nini asitafute dem mwingine wa kupunguza hiyo extra iliyomshinda mke wa ndani? Na hii ni kwapande zote, naomba ieleweke hivyo; hata wanawake wanatoka nje ya ndoa.Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!