Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

kwani wewe una mke?
Namsikitikia kwa kweli ulivyowapanga
amu huna nidhamu, mbona kumtusi mume wangu humu?? kwani tumekuwa mafungu ya bamia??
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha dada u will keri uaself
majangaaaaaaaaaa, snura kanifurahisha sana na wimbo wa majanga! amu upo?? Mi mith u mdogo wangu, tutafutane bana!
 
Last edited by a moderator:
We acha, jirani yangu aliitwa na manesi (wakunga) wakaanza kumsuta/kumsema kuwa aache kumuingilia mkewe mlango wa nyuma, wakati jamaa hajawahi kabisa kufanya hivyo. Baada ya vikao vya ndugu na majirani wa karibu ikawekwa wazi kuwa kuna muhuni mmoja mtaa wa jirani ndie alikuwa speshalisti wa kushughulikia tigo ya yule mama. Inasemekana yule mama/dada alizoea mchezo ule kabla hajaolewa, kwa bahati mbaya mumewe hatumii kabisa upande huo.

umeona eee halafu wa kwaza kuja kulalamika humu
mburula's ndo watakuja kujivua humu
 
majangaaaaaaaaaa, snura kanifurahisha sana na wimbo wa majanga! amu upo?? Mi mith u mdogo wangu, tutafutane bana!

mith u too huyo mkeei asikubanie hivo
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa heshima kwako!! Tutafute wanaume wa nje, unaonaje mwali! Kwi kwi kwi kwi!
ha haaaaa, wewe mtoto nitake radhi dada mkubwa......
cha kutaka kujizeesha harakaharaka!
yale madude ukichanganyachanganya nasikia unazeeka haraka...... si unaniona dadako ninavyokimbiza?
 
ha haaaaa, wewe mtoto nitake radhi dada mkubwa......
Cha kutaka kujizeesha harakaharaka!
Yale madude ukichanganyachanganya nasikia unazeeka haraka...... Si unaniona dadako ninavyokimbiza?
tena unakimbiza vibaya mnoooooooo!! Kwi kwi kwi eti yanazeesha, nimechekaaaa!
 
tena unakimbiza vibaya mnoooooooo!! Kwi kwi kwi eti yanazeesha, nimechekaaaa!
ha haaaa, kweli mdogo wangu yanazeesha yale ukiyachanganya changanya.....
afya ni kulimiliki moja, unanawiiiriiii, kwa raha zako!
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom