Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

mimi mzima kabisa hofu kwako.
Nashukuru kama niliwahi kukupa ushauri uliokufanya usiache kunikumbuka.....
tatizo tunatoa maushauri kwa wengi mno, hata sikumbuki nilikushauri nini, lol!
kila la heri

waswahili husema mtenda hakumbuki ila mtendwa........ ubarikiwe sana.
 
sawa na wenye macho wameona na mwenye masikio amesikia ubarikiwe sana No comment!
 
mtenda hutendwa
kunya anye kuku. akinya bata kaharisha
wamama nao wanajifaraiji outside nawdays, ngoma droo!!
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!

Asante! Napokea pongezi
 
bora uwaambie babu dc wanajivua nguo tu na ndoa zao.

Haya mambo bwana tulifundishwa kufa nayo rohoni...

Katika hii dunia, ukisema hujawahi kutembea nje hakuna atakayekuamini na ukisema wewe ni mtaalamu wa kuchepuka unaonekana wa ajabu....

Ndiyo sasa unaishia kujishangaa...bora mvua au jua??

Babu DC!!
 
mtenda hutendwa
kunya anye kuku. akinya bata kaharisha
wamama nao wanajifaraiji outside nawdays, ngoma droo!!

Kauli kama hizi ndiyo zinasababisha kupungua kwa idadi ya wanaume as age goes....

Yaani ukiambiwa kuwa mama nanihi au bibi anagawa hazina huko nje ukabaki mzima bila kupasuka aorta basi wewe ni kisiki cha mpingo...

Kama kweli mnawapenda waume zenu..acheni kabisa kuongelea haya mambo...

Endeleeni kuwafariji kuwa "married women don't cheat"...lol!!

Babu DC!!
 
Macho hayana pazia bidada, wacha tuangalie uumbaji mzuri dunia na maua yake oooolalalaaaa.............!:kev:

Sidhan kama kipind hiki kuna mwanaume mwaminifu tunaishi katka ulimwengu wamapenzi bora dunia iende tu
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!

hakuna binadamu mwaminifu humu duniani,,,,,,utateseka sana kutafuta na kusubiri chamsingi usione madudu ya mwenzako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom