Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Wanaume wanaotoka nje ya ndoa

Mbona lawama zote wazielekeza kwa wanaume utadhani huwa wanajifanya wenyewe.
Jambo la muhimu ni kwa wanawake kuacha pia kugawa mbunye hovyo hovyo, kwani si lazima mkitongozwa mkubali.
Kumbuka kujaamiana hakukamiliki pasipo jinsia mbili.
nyie si ndo mnakuwaga mainitiator japo wanawake nao siku hizi wamehamia digitali..ila nyie ni nomaa sketi ikipita tu tena awe ameumbika flani vijicho vinawatokaaaaa!
 
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
Men enjoy the nature of the world. The population increases geometrically (according to Malthus) More than 60% are women, the ratio in play is then 1:5, man to women, tukienda kinyume ni kosa, kila mwanamke apate haki ya unyumba, dont be selfish!
 
Katika saikolojia ya mapenzi na utongozaji, mwanamke ndiye huwa wa kwanza kuonesha welcoming signs(tht's a fact)...
Ni kama harufu na pua, huwezi kuilaumu pua kwa nini imenusa harufu mbaya au nzuri...

nyie si ndo mnakuwaga mainitiator japo wanawake nao siku hizi wamehamia digitali..ila nyie ni nomaa sketi ikipita tu tena awe ameumbika flani vijicho vinawatokaaaaa!
 
Mh!!! . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .!
 
Katika saikolojia ya mapenzi na utongozaji, mwanamke ndiye huwa wa kwanza kuonesha welcoming signs(tht's a fact)...
Ni kama harufu na pua, huwezi kuilaumu pua kwa nini imenusa harufu mbaya au nzuri...

gud morn best,hilo unalosema kweli kabisa
 
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

There are 2 kind of Hero!!!!!!!!

1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!

2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!

SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni kweli, binafsi siamini kama kweli kuna mwanamme asiytoka nje ya ndoa. Kwa Bongo, hii ni ndoto na ninasema hakuna kwani scandals za kutoka nje ya ndoa au mtu tu kuwa na mademu wengi imekuwa kama fasheni hivi.
 
Men enjoy the nature of the world. The population increases geometrically (according to Malthus) More than 60% are women, the ratio in play is then 1:5, man to women, tukienda kinyume ni kosa, kila mwanamke apate haki ya unyumba, dont be selfish!

So in short inabidi tugawiwe na kina mama, au vipi? Hey P..... unayasikia hayo?
 
wanawake wanaogawa tigo nje ya ndoa je?
Saa ingine tuwapumzishe hao waume za watu.
Nowdays mambo yamechange sana

We acha, jirani yangu aliitwa na manesi (wakunga) wakaanza kumsuta/kumsema kuwa aache kumuingilia mkewe mlango wa nyuma, wakati jamaa hajawahi kabisa kufanya hivyo. Baada ya vikao vya ndugu na majirani wa karibu ikawekwa wazi kuwa kuna muhuni mmoja mtaa wa jirani ndie alikuwa speshalisti wa kushughulikia tigo ya yule mama. Inasemekana yule mama/dada alizoea mchezo ule kabla hajaolewa, kwa bahati mbaya mumewe hatumii kabisa upande huo.
 
Men enjoy the nature of the world. The population increases geometrically (according to Malthus) More than 60% are women, the ratio in play is then 1:5, man to women, tukienda kinyume ni kosa, kila mwanamke apate haki ya unyumba, dont be selfish!

mmmh ni wewe au?
 
kweli kuna mume ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa kabisa?!!! hata wa hum ndani watakaa ila moyoni nwao nafsi zina wasunta.

yupo namfahamu mmoja kwa uhakika. sema tatizo ni mke wake anatandikwa na watu wa nje usiombe, huyo jamaa alivyokuwa mpole na mtiifu kwa mke wake we acha tu.
 
Acha ubinafsi wewe wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane burudani afteral ni wetu sote

Una akili sana, kwa vile wanaume wachache unaweza hata kutembea na baba yako, kaka zako, wajomba, baba wadogo e.t.c, safi sana!!!:clap2:
 
Wanaume committed wapo wengi tu, lakini waaminifu hawajazaliwa bado. Mjadala huu utakua mrefu, kila mwanaume akijaribu kuonyesha uaminifu wake, lakini yote kunogesha kijiwe. Haya kila la heri wachangiaji.
 
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

There are 2 kind of Hero!!!!!!!!

1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!

2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!

SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!

aaaaagh Lara 1 . Wacha tuchape ilale bhaanaaaa......!
Fiiimbooooo chapaaaaa yeeyeyeeeeeee.....!
Eti ni kweli wanawake ni wagumu kutoka nje ya ndoa hawa hawa wa digitali?
 
nyie si ndo mnakuwaga mainitiator japo wanawake nao siku hizi wamehamia digitali..ila nyie ni nomaa sketi ikipita tu tena awe ameumbika flani vijicho vinawatokaaaaa!

Macho hayana pazia bidada, wacha tuangalie uumbaji mzuri dunia na maua yake oooolalalaaaa.............!:kev:
 
Ni nyie wake zetu mnasababisha tutoke nje. Mapenzi ya nje matamu sana tena sana
 
hii makitu ilinipita wapi??? natafuta mume wa mtu, namiss hiyo makitu wallahi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom