nikiwe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 775
- 345
Kwani ww ni mume wa ntu?
Njoo jigawie mimi
Njoo jigawie mimi
Sidhan kama kipind hiki kuna mwanaume mwaminifu tunaishi katka ulimwengu wamapenzi bora dunia iende tu
lakini Babu Dc
wao mbona wanachakachua?
chakachua uchakachuliwe,y wanawake
ndio tuwe wa kuumizwa tu daily?aakhaaa
haki sawa majukumu kwa wote!!ngoja Lady doctor aje anisaidie
Ewaaaa, hebu twende PM mara moja nikakunong'oneze jambo. Maisha mafupi haya bana, raha jipe mwenyewe.
Mwenye kisu kikali ndo anakula nyama...... wahi mama...........!!!
mimi au Lady doctor?
mbona mzee hueleweki aisee!!
yani huby wangu RuttashobolwaMwenye kisu kikali ndo anakula nyama...... wahi mama...........!!!
yani huby wangu Ruttashobolwa
akiona hii kauli jiandae kuongezewa mapengo
hakiya nani,mkaguzi unakua hivi!!
we jishebedue tu akijaMtu mzima hatishiwi nyau, rijali yuko radhi kupoteza mguu kwa ajili ya mrembo.
Unajua niko inbox huku nasubiria PM yako?
we jishebedue tu akija
uendelee kujidai na urijali wako!!
mimi au Lady doctor?
mbona mzee hueleweki aisee!!
Acha longolongo mingi basi, nakusubiri uninong'oneze jambo flani hivi
Afu shiiiiiiiiiiiiiii wambea wasijue.
achana naye huyo mzee ,hebu njoo huku kwangu .... nasubioria pm
Acha longolongo mingi basi, nakusubiri uninong'oneze jambo flani hivi
Afu shiiiiiiiiiiiiiii wambea wasijue.
mzee kashazeeka mpaka
maini nimpeleke wapi akha!
Nikiwa, kitu kizuri kula na nani? I think hoja ingekuwa kwanini watu tunakata kamba?Acha ubinafsi wewe wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane burudani afteral ni wetu sote