Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Mi sioni red hapo Asprin. amu yupo chit chat nimemwona lwen sredi ya sharifaaa. Hizo salamu za shemeji yangu naomba nisizipokee kabisaaaa
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha hiii nimeipenda , kumbe hawa watu ni madalali mbona sisi wanachama hatuna habari au ni mimi peke yanguf. Itabidi niende lumumba nikaulizie vizuri mwee.Mwambie aache longolongo, asije kuwa kama machalii ya lile chama kubwa.
![]()
Tanzanian,African or World?
Mimi huwa siwanyimi maana najua natimiza natural law. Hah hah . Uliza ni mademu wangapi wanapiaga mwezi hawajapata dume. Kazi yetu ni moja tuuu. Iko waziIgwe like this....
sijambo mdogo wangu, upo??
Sidhan kama kipind hiki kuna mwanaume mwaminifu tunaishi katka ulimwengu wamapenzi bora dunia iende tu
Hoja kama hizi zinazolenga kuchefua watu humu jamvini ili tukionana viwanjani tusisalimiane wakati mwingine unazipotezea tu mkuu.zitalika muda si mrefu hapa!
:car:
Morogorounakaa wapi?
Morogoro
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
..hiii nikiwe..umenena..ukizingatia sensa iliyopita....!Acha ubinafsi wewe wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane burudani afteral ni wetu sote