Hahahah...haya fumbua macho uone haka kabinti kanavyohangaika kuweka mandhari ya kitanda sawa sawia...sasa hivi ndio nashushiwa net hapa...
awe wako peke yako sumu hiyo!ahahahhahhaha wewe!Yaani awe wangu peke yangu? Hata sumu ya panya unaweza kushare na jirani. As long as share yako inakutosha, why bother about the rest? Kwanza ndo kaulimbiu ya siku ya mazingira duniani! Unakula huku unawaza
wewe utakuwa upo German na hujaja bongo.
Siku ukija bongo kitu cha kwanza utafanya hiko.
Btn kutoka nje ya ndoa hulaghaiwi tamaa zako mwenyewe
halafu nipe heshima yangu mie mmama ujue tena ajuza
ahahahhahahahhaha
mi staki amu!
hako kabinti?
Naona dharau mnaleta sasa eee?
Ooo patawaka moto humu sasa hivi
Nipo Hapa hapa Bongo na sehemu ninayokaa kuna kila aina ya mwanamke wanaonizunguka. hizo ni tamaa tuwewe utakuwa upo German na hujaja bongo.
Siku ukija bongo kitu cha kwanza utafanya hiko.
Btn kutoka nje ya ndoa hulaghaiwi tamaa zako mwenyewe
Men are polygamists
Nipo Hapa hapa Bongo na sehemu ninayokaa kuna kila aina ya mwanamke wanaonizunguka. hizo ni tamaa tu
unanharibia bana wakat kuna kiserengeti nakimendea humu