AiseeeAngekuja kwangu angekuta matope kabisa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HahahaWachafu utawajua tu.
seenChief ,nmekutext.
Ninong'oneze hebuNikweli mkuu
Ukilianzisha nialike. Interesting story i like itKesho umeme ukirudi
cha ajabu kuna wanaume wanasemaga jomoni[emoji3] [emoji3]Nazipenda sana thread zako ila huwa nikikutana na neno "Jomoni" yaani mzuka unakata kabisa na naishia hapo hapo.Nimeona niseme tu maana story zako huwa zinanivutia na natamani kusoma hadi mwisho.
Labda Beira baby boy na shost yake deo kisandu.Vichwa maandazi kabisa!cha ajabu kuna wanaume wanasemaga jomoni[emoji3] [emoji3]
Aya bna umeme umekata tuonane Kesho jioni
Madem wa humu mnawapataje? Kama humu mnawapata Insta si ndo mnaharibu kabisa?Namm nmekuelewa bila shaka ukajisemea moyoniiii *Ayaaaaaaa huyu chief nn iki [emoji23] [emoji23] [emoji23] *.. Aaaahh kuchangamsha majukwaa tuu Chief Wangu !!.
Huko wapi nikujeHameni dar......,
Kama mume wetu AspirinIla kuna wanaume ni wasafi jamaaaani, usiombe!!!