Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Nimefika mpnz ha ha ha wanazani tumeachana tunaanzaje kuachana ....yupo miaka 800000
Nashangaaa ila nilichokipenda Kwa bwana mdogo , Anaishi huku akitukumbuka[emoji3] [emoji23] [emoji23]
b6dcddd6a8f1d5bf36298d19f06f44c2.jpg
Baby endelea kunipa malezi ya kimahaba km vile mtoto mchanga apewavyo malezi na Mama yake !!

Mima white cute
 
wewe unatafuta excuse baada ya kuona ndoa zimekaza awamu hii, kama alikua mchafu wewe ulikua na nafasi ya kumbadilisha tena ndani ya wiki tu.
Kasema alikuwa mshirikina mchawi yaani haruhusiwi kufanya usafi
 
Back
Top Bottom