Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Story zako uongouongo mwiingiiii...uliliwa ila hukumpenda halafu dizaini gold digger Fulani......hizi siri hukutakiwa kuzitoa......mbona umwtaja MTU be tu....njemba nyingine hamuna?
 
Kuna jamaa yangu hapa anauliza,"kwahyo jamaa hakumla samak papa"..nimjibuje
 
Story zako uongouongo mwiingiiii...uliliwa ila hukumpenda halafu dizaini gold digger Fulani......hizi siri hukutakiwa kuzitoa......mbona umwtaja MTU be tu....njemba nyingine hamuna?
Unajua maana ya gold digger? Wewe kiazi tu
 
Sio Malaya bhana mbona hata mume na mke wanaingia?
Hiyo dhana tu
Ina maana tukikutana huko hutakubali had I nikupeleke kijijini kwetu?
Kila mtu ana principles zake mkuu maishani. Nimeamua tu hvo
 
Uliyepangiwa na muumba bado zamu yake.Kitu kingine usisahau na mshale wa saa unatembea.
 
Back
Top Bottom