ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,709
- 127,638
@sakayo sio mke wa @aspirin tena.Kama mume wetu Aspirin
@sakayo sio mke wa @aspirin tena.Kama mume wetu Aspirin
EwaaaaKama mume wetu Aspirin
Abeeee@sakayo sio mke wa @aspirin tena.
Kesho jioni bna nipo kitandaniUmeme umerudi....
Wala sichagui Sana mkuuSasa upo tayari kuolewa?
Unataka mwanaume wa aina gani?
Pamoja na kuwa lazima mtu aangalie nani anataka kuishi nae, ila waonekana unachagua sana.
Vidharau vipi kwani tn. Hahaha.Doh wakati nasoma huko juu nikaanza kuandaa mistari ya kukulaum,ila kufika uku mwisho naona ushirikina tena nakuunga mikono yote miwil na miguu ukitaka[emoji23]
Ningekulaumu kwa kua mi hao wachafu ndo nawapendaga,mana najua ntafanya juhud za kumbadlisha mpk apo kwake pawe km ni palace ndogo[emoji23]hata tukija kuachana atakua ananikumbuka kwa mengi,ila ukikutana na mwanaume msafi,anadeki nyumba fresh,anafua,anapika na kukaanga rosti la maana doh hawa bana huaga wana vidharau flani iv
🙂 chapati hazichambuka... Mbn unatupa maneno magumu hahaha!Hawa mi siwawezi,ukipika anakwambia chumvi nyingi,ukideki anasema hujakausha vizur,ukifua atakwambia mbona hii nguo haijatakata,kanda chapati sasa,atakwambia chapati zako ngumu,af hazijachambuka[emoji23]utasema ulikua unakanda wali sasa[emoji23]
Natakaga jitu rafu nilibadilishe apo ndo napojizolea sifa ya uwaifu matilio
Ohhooo........[emoji13] [emoji13]Ninong'oneze hebu
Usilazimishe. That is key.Hata nisipoolewa Poa tu mamy am ok
Nipo Mexico....., vp unataka uje...????[emoji13] [emoji13] [emoji13]Huko wapi nikuje
Duh!!!!! Unafanya nn...????Kesho jioni bna nipo kitandani
Kila mtu na mwaka wakeNdio maana nilikushindwa, ulitupanga foleni unatupima!
Duuuuhhh mkuuu !!!..Madem wa humu mnawapataje? Kama humu mnawapata Insta si ndo mnaharibu kabisa?
Wapi tenaaOhhooo........[emoji13] [emoji13]
Ebu twende huku.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]