Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

hv dume zima utapigaje kambi ukweni?? huoni aibu hadi wakwe wanakuchoka. ukweni sio vzr kukaa zaidi ya siku 2 kama ni ku salimia. kama ni msiba wakizika tu sepaa.
hao wanaohamia ukweni itakuwa ni MARIOO maana hizi mtu hazinaga aibu
 
MAMBO HAYO YANAMFAA GADNER G TU HAHAHA.

MIMI NIMEKAA SIKU NYINGI 3, TENA KUNA MSIBA AU SHUGHULI YA LAZIMA.

ILA KAMA SAFARI YA KUWASALIMU NITAFIKIA GUEST NA HAITAZID 3 DAYS
 
Mhm!kwa mwanaume hizo siku nyingi sana,inaweza kuwa kero kwake.maana siku zaid ya 10.

~Halafu unajisikiaje kukaa bila kazi kwa watu na hujazoea mazingira?ushindwe kuangalia tv,kufurahi sebulen kwako,muda wote umevaa jeans au surual kitambaa,hata kujiacha shida.

~Hata km unahudumia ww hapana kwetu tutasema"ulimbhutolwe"unahitaji msaada
 
Muda wote huo unafanya nn mwanaume??Salimia nenda kwenu mwache mke hapo..awe huru...afurahi maisha na ndugu zake...
Nimeipenda hii,unamuacha anachepuka na wale waliombikiri pamoja na majirani waliokua wanamgegeda kipindi haujamuoa.

Ikiwezekana atoke na ujauzito kabisa.
 
Happy 2018!!

Nina swali dogo lakini laweza kuwa muhimu, hasa kwa jamaa zangu wa kiumeni waliopo ndoani. Fikiria ni holiday time, wale ndugu zangu wenye desturi ya kurejea kwao/kwa wazazi wanajiandaa kwenda kufurahi na ndugu, marafiki na majirani.

Wakati huo mke anakwambia "hubby naomba likizo/sikukuu hii tuitumie kwa wazazi wangu", tuseme kuanzia tar. 20 Dec hadi tar. 7 Jan. Nawe mwanaume unakubali kwa sababu ni ukweli kuwa wazazi wa mke ni wazazi wako pia.

Swali langu hapa;
*Je utaweza kukaa kwa wakwe kuanzia 20th hadi 7th?

*Ni sahihi (kwa mtizamo wako) kukaa kwa wakwe kwa mda mrefu kama wiki na zaidi?

*Mila zetu zinasemaje kuhusu mwanaume 'kupiga kambi' ukweni?

Again, happy 2018 MMU family.
Wanaume wengine hawapendi kwenda kwao .Je walazimishwe ?Acha sie wamama twende kwetu kuhesabiwa.
 
Kuna siku nilienda ukweni na wife nikatoka kidogo mtaani saa mbili tu mama mkwe aka mind eti nimechelewa kurudi nilikuwa wapi? Mm sikusema kitu nilikaa kimya baadae nikaasikia eti huyu mwanaume jeuri halafu ana dharau sijarudi tena ukweni mpaka leo
Mualike mama Mkwe kwako, alafu urudi saa5 usiku... Atajua kuwa ile siku uliporudi SAA 2 uliwaheshimu sana.
 
Maisha sio magumu kiasi hicho


Unalala tu

Si wazazi kama walivyo wazazi wako?????
 
Maisha sio magumu kiasi hicho


Unalala tu

Si wazazi kama walivyo wazazi wako?????
Sio rahisi kiasi hicho BT, ndio maana tunalipa mahari, life would have been so easy kama kila kitu tungekichukulia kirahisi tu.
 
Hahahah
Tatizo wanaume mmefundishwa toka utotoni kutokulala ukweni aisee

Ndio maana unaona ugumu

Ila ukipotezea unalala tu

But inategemea haswa na aina ya familia na jinsi gani mwenyewe hau-mind


Ingawa kizazi hiki cha sasa cha mwendokasi iam sure wao hawatoona shida

Sio rahisi kiasi hicho BT, ndio maana tunalipa mahari, life would have been so easy kama kila kitu tungekichukulia kirahisi tu.
 
siku tatu maximum..kukaa ukweni
hapo na assume siku hiyo ya tatu mchana safari inaanza..
 
Naona umejichanganya mwenyewe NANDERA, huku unasema 'why not', huku unafanya reference ya kabila lako ambalo halina utaratibu wa waume zenu 'kuuweka' kwenu kwa mda mrefu.

Sijui kama nimejichanganya. "why not" nilimaanisha kwa nini wasikae? Kwa kabila langu nimesema kama mkwe ni chasaka anakaa ukweni na hakuna wa kumshangaa. Muda mrefu sijui ni upi maana wewe umetaja wiki au zaidi. Kama wameamua "holiday" ni wiki moja au mwezi hakuna shida maadam hana lengo la kuhamia ukweni.
 
Back
Top Bottom