Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Mimi ukweni sijalala hata kama nimejenga nyumba Mimi, ILO Alina mjadala nitatafuta lodge nilalale Ila ukweni silali hata kwa fimboo labda kuwepo na matatizo tulale wengi bila utaratibu
 
Hongereni ...wakuu nyie mmebahatika kuoa kwenye familia ziishio mijini!! Sisi wengine wakwe zetu wako bush lazma tulale make hakuna jinsi...!
Unajua hoja yangu wala haipo katika kulala, japo nimejifunza pia kuwa wengi hata kulala usiku mmoja ni taboo, ila nimeuliza kama ni fine kwa mtu kutumia likizo nzima ukweni.
 
Unajua hoja yangu wala haipo katika kulala, japo nimejifunza pia kuwa wengi hata kulala usiku mmoja ni taboo, ila nimeuliza kama ni fine kwa mtu kutumia likizo nzima ukweni.
Nmeelewa vizuri Mada mkuu!! Kwa ujumla haifai kwa mwanaume kuweka kambi ukweni haijalishi ni kabila gani sis ni waafrika mila zetu zinafanana
 
Mimi ukweni sijalala hata kama nimejenga nyumba Mimi, ILO Alina mjadala nitatafuta lodge nilalale Ila ukweni silali hata kwa fimboo labda kuwepo na matatizo tulale wengi bila utaratibu
Mkuu nakukumbusha maeneo mengi vijijini lodge hakuna kama sio chache zenye mazingira mabovu
 
Kuna kaugumu fulani hivi, sie tukienda home tunashinda kwa mama ila kulala tunaenda kwa dada, hata mi sijui kwanini.
Umeita wanaume sorry nmekuja kumuwakilisha mwanaume wangu .
[emoji12] [emoji2] [emoji23]
 
Siwezi lala ukweni ng'oo. Ukiniona Ukweni ni Msiba(tena nalala nje) au sherehe jioni nasepa.Nikienda kusalimia ni dakika 5 tu, sipo. Huwa najifanya busy Sana, simu nyingi ili wakose cha kusema, nami nipate upenyo wa kuondoka. Muda wote hawanielewi, wananiogopa, na ndo maisha nayotaka.
 
Nikifika Leo Mchana Jioni Naaga Kwamba Kesho Asubuhi Naondoka , , Na Hawawezi Kunizuia Hata Wajifanye Wana Huruma Kivip Huo Ndo Uamuzi Wangu ,, ,, , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,
 
Mimi hata Aliko olewa Dada angu siwezi hata kumaliza masaa 3,Ukweni ndo kabisaaa manake ukiwa ukweni unakuwa kama mgonjwa yaani simba asiye na kucha wala meno mkeo anakufanyia vimbwanga kumpiga huwezi hata kusonya tu huwezi,ukweni ni kwa kusalimia tuu
 
Kibusara kuuweka saana ukweni ingawa naskia kuna akina ngoo***ha wakienda kwao hakunaga aibu.
Unaweza kuhaibika bure. Ukweni kuna heshimika zaidi ya kwenu. Nikiwa home njiskia niko Fri saaana. Bt ukweni hata ukiwa unakula inawezekana unagusa gusa kidogo ukiwa mbali na mama mkwe msionane hata kama vyakula vipo utakiwi kuonekana unakula Sana wenzagu na mm chupa ndefuu huwezi kuzidi moja.
Nifikiri day one zmezidi hata tatu then linda heshima.Wife yeye akae na watoto mi nitakuw home kwetu au kwangu au nilipopanga
 
Mimi hata Aliko olewa Dada angu siwezi hata kumaliza masaa 3,Ukweni ndo kabisaaa manake ukiwa ukweni unakuwa kama mgonjwa yaani simba asiye na kucha wala meno mkeo anakufanyia vimbwanga kumpiga huwezi hata kusonya tu huwezi,ukweni ni kwa kusalimia tuu
Duu! Pole sana mkuu - Hilo la kufanyiwa vimbwanga na mke ni tatizo lingine, linahitaji uzi wake aisee😉
 
Nimempenda buure! Mambo mengine hayahitaji mila, unajiongeza tu. Sasa yule shemeji yako mkubwa keshaoa kwani jamani. Huyu mama mkwe wako atanifaa sana😀

Hahhaa kashaoa umechelewa
 
Hongereni ...wakuu nyie mmebahatika kuoa kwenye familia ziishio mijini!! Sisi wengine wakwe zetu wako bush lazma tulale make hakuna jinsi...!

Mungu atakubariki sana hakuna kitu kizuri kama kuheshimu wazazi wa mwenza wako maana utabarikiwa Na wewe kwa watoto Na wajukuu zako
 
Back
Top Bottom