Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Asi wakumbuka nlivokuwa nacheza darts na babaako? Najua kabisa hapa namshinda ila kwa heshima nakubali kushindwa. Akilipia bill ya bia mi nalipia ya nyama choma ... na nyingine nabeba kuleta nyumbani. Ushasahau mke wangu?
Si ndiyo maana nilisema uwe na pesa inafanya maisha yako yawe mazuri sana ukweni.

Angalia usinywe mpaka ulewee, kumbuka kuwa uko ukweni,

Usiongee pumba, kama huna point kwa kimya kuwa msikilizaji.

Siyo unaanza kuwaambia baba mkwe na marafiki zake kuwa una ma frustrations yako.
 
mkuu huo ni upumbavu kwenda kwa wakwe mwanaume mzima ukakaa wiki mbili. mimi naenda kisalimia siku mbili na wala silali. nashinda mchana then jioni naenda kulala guest. mwanaume mzima kwenda kulala ukweni ni dalili mbaya sana. either umelogwa (limbwata) au basi umezidiwa kipato au wife kakuzidi power tu, .

ni hayo tu wakuu
 
Ni kwenu jamani
 
Si ndiyo maana nilisema uwe na pesa inafanya maisha yako yawe mazuri sana ukweni.

Angalia usinywe mpaka ulewee, kumbuka kuwa uko ukweni,

Usiongee pumba, kama huna point kwa kimya kuwa msikilizaji.

Siyo unaanza kuwaambia baba mkwe na marafiki zake kuwa una ma frustrations yako.
Afu wakati huo nishasahau maswahiba zangu pale Afrika Sana?
 
Dah!!
Mwanaume unaenda kuweka kambi ukweni??
Utatokaje kifua wazi na taulo sasa??
Kwanza utakuwa unaongea nao nini siku zote Hizo??
 
Yaani nyumbani kwenu unapaita "kwa mama"? Ama me sijaelewa vizuri?
Teh lugha nayo ni pana mweh hebu nirekebishe
Nyumbani kwetu nimemaanisha huko mkoani kwetu rock city, ila tukishafika sasa tunafikia kwa sista tunaweka mizigo, tunaoga, then tunaenda kushinda kwenye nyumba yetu kwa mama yangu, then usiku tunarudi kwa sister. (yani unataka niandike kwa ufasaha kama ticha wa kiswahili 😀)
 
Ulivyoandika mwanzo, ndivyo ulivyorejelea kufafanua.
Hapa nilichokielewa mwanzo na kutaka ufafanuzi, ni kilekile nadhani. Kuwa nyumbani kwenu, yaani kwa wazazi wako, mji huo unamilikiwa na mama, ie; mama ni single mom, ama mjane na vitu kama hivyo. Ndiyo hasa nilichokazia kutaka kukifahamu, ahsante.
 
Uzuri mimi nikifika hata kama ni saa 10 jioni nasalimia then naaga. Kwetu ukweni ni pa kuheshimu sana, utawekaje kambi sasa. Hata kama ni msiba nashinda then naondoka, ntarudi baada ya siku 3 ba vyakula.
 
Ulivyoandika mwanzo, ndivyo ulivyorejelea kufafanua.
Hapa nilichokielewa mwanzo na kutaka ufafanuzi, ni kilekile nadhani. Kuwa nyumbani kwenu, yaani kwa wazazi wako, mji huo unamilikiwa na mama, ie; mama ni single mom, ama mjane na vitu kama hivyo. Ndiyo hasa nilichokazia kutaka kukifahamu, ahsante.
oooh ni mjane, mdingi alishatangulia mbele ya haki
 
Happy 2018!!

Nina swali dogo lakini laweza kuwa muhimu, hasa kwa jamaa zangu wa kiumeni waliopo ndoani. Fikiria ni holiday time, wale ndugu zangu wenye desturi ya kurejea kwao/kwa wazazi wanajiandaa kwenda kufurahi na ndugu, marafiki na majirani.

Wakati huo mke anakwambia "hubby naomba likizo/sikukuu hii tuitumie kwa wazazi wangu", tuseme kuanzia tar. 20 Dec hadi tar. 7 Jan. Nawe mwanaume unakubali kwa sababu ni ukweli kuwa wazazi wa mke ni wazazi wako pia.

Swali langu hapa;
*Je utaweza kukaa kwa wakwe kuanzia 20th hadi 7th?

*Ni sahihi (kwa mtizamo wako) kukaa kwa wakwe kwa mda mrefu kama wiki na zaidi?

*Mila zetu zinasemaje kuhusu mwanaume 'kupiga kambi' ukweni?

Again, happy 2018 MMU family.
ukweni unakaa hata mwaka kikubwa uwe na mkwanja wa kuservice ishu za pale nyumbani,lasivyo utakuwa mtu wa kutumwa tumwa na kupeta mchele jioni!
 
Mada fikirishi sana hii. Mimi nina miaka 16 ya ndoa na sijawahi kulala ukweni hata kwa siku moja. Sijawahi kukatazwa ila naamini sitakuwa na amani... Japo ukweni kuna chumba cha kulala wageni ... mimi huwa nalala lodge ya karibu.

Asubuhi nawahi kifungua kunywa... napiga stori kidogo then nasepa kitaa... mchana nakuja kugonga lunch na story nyingi then nasepa. Usiku nakuja kugonga dinner.... story nyingi sana then naenda zangu lodge kulala.... wife analala kwao. (Angalizo sitafuti mchepuko)

Maximum kukaa ukweni ni siku tatu kama kuna msiba wa karibu sana. Kusalimia.... nikifika leo keshokutwa mapema sana kabla jogoo hajawika mi huyoooo nshasepa zangu. Wife tutakutana mbele ya safari au jijini Daslam

Mpaka sasa sijajua kwanini....

unapiga stori gani na wakwe?.....acha ujuha
 
Mi ni mwanamke Niko kwa ndoa zaidi ya miaka 15 huwa tunautaratibu wa kwenda holiday Xmas kwa mama mkwe Na New year kwetu ila si Mara zote new year Mme wangu anakuja kwetu. Tukiendq nae huwa tunalala hotel iliyo karibu Na kwetu ila watoto tunawaacha kwa bibi Na babu halafu pia wale waliooa Dada zangu Na pia kaka Na mabinamu zangu ndio wakati wetu muafaka wa kukutana Na watoto wetu kujuana so Mara nyingi tunakula kwa wazazi au ndugu wengine Na pia kula bata na San Na kulala ni hotelini.
...........mi hata kwa bunduki sikai ukweni.............
 
Back
Top Bottom