Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

Happy 2018!!

Swali langu hapa;
*Je utaweza kukaa kwa wakwe kuanzia 20th hadi 7th?

*Ni sahihi (kwa mtizamo wako) kukaa kwa wakwe kwa mda mrefu kama wiki na zaidi?

*Mila zetu zinasemaje kuhusu mwanaume 'kupiga kambi' ukweni?

Again, happy 2018 MMU family.

Happy New Year to you too. Badala ya ku-hit the bushes, ungeenda straight to the point: CAN YOU HAVE SEX AT YOUR IN-LAWS AND IF SO HOW?

If you have been brainwashed by the society you live in to repress your own sexual desires, then sex at your in-laws my not be possible. So, to comply with the society's rules that try to suppress your sexual desires, avoid your in-laws. But they can't be avoided anyway and why avoid them in the first place? Otherwise, you will have to be creative, spend a night away, or change your location.

But if you're a natural man and have not been manipulated by the societal rules, then sex at your in-laws is possible. After all si ulilipa mahari? Kwa nini ujifanye mtumwa? She is your wife, not your slave-master, and they are your in-laws, for God's sake.

On the flip side, wakwe wakija kwenu, then no sex mpaka waondoke? If you can have sex at your house whilst wakwe zako wakiwepo why not at their house? Will your in-laws stop having sex kwa sababu tuu nyie mpo around?

Naamini wakwe zako wanajua kuwa you guys do have sex. They know that you're having a married sex. Kuna kosa gani hapo? Au mnawaficha nini? Mnadhani wao ni vilaza kwenye masuala ya ngono? Sidhani kama kuna mzazi ambae hataki his/her grown up children to experience a healthy intimacy. Maybe what they don't want to is the details of your sex lives.

Kwa hiyo, you can have sex with wife at your in-laws. Kinachotakiwa is just to adhere to the do's and don't.
  • Hakikisheni kuta za chumba hazipitishi sauti au mitikisiko ya kitanda.
  • Tandikeni shuka au taulo kubwa mlizokujanazo (msitumie zao au za bafuni) juu ya matandiko mliyotandikiwa.
  • Kama mnatumia kondomu msiache zimezagaa chumbani.
  • Wakati mnasex msipige makelele yasiyo na mpango. In fact, having silent sex can be exciting and you whispering in her ear can turn her on even more.
  • Hakikisheni mmefunga mlango kwa ufunguo. Seriouly, you wouldn't want your mother-in-law finding you performing cunnilingus on her daughter.
  • Zima TV au wekeni sauti ya nchi kabisa. Kama sauti ipo juu, it is obvious that you are drowning out the sound of something altogether more carnal.
  • Kama mnatumia sex toys, then never bring them in your in-laws.

Yaani niende na mke wangu kwa wakwe, yeye alale huko halafu mie nilale lodge? Seriously? That is not respect bali ni utumwa. Mambo ya "NO SEX PLEASE, WE ARE IN JAPAN" yamepitwa na wakati.
 
Usije thubutu kukaa ukweni muda mrefu utazua ya kuyazua Kaa kidogo salimia ondoka
 
Kuna siku nilienda ukweni na wife nikatoka kidogo mtaani saa mbili tu mama mkwe aka mind eti nimechelewa kurudi nilikuwa wapi? Mm sikusema kitu nilikaa kimya baadae nikaasikia eti huyu mwanaume jeuri halafu ana dharau sijarudi tena ukweni mpaka leo
 
Mada fikirishi sana hii. Mimi nina miaka 16 ya ndoa na sijawahi kulala ukweni hata kwa siku moja. Sijawahi kukatazwa ila naamini sitakuwa na amani... Japo ukweni kuna chumba cha kulala wageni ... mimi huwa nalala lodge ya karibu.

Asubuhi nawahi kifungua kunywa... napiga stori kidogo then nasepa kitaa... mchana nakuja kugonga lunch na story nyingi then nasepa. Usiku nakuja kugonga dinner.... story nyingi sana then naenda zangu lodge kulala.... wife analala kwao. (Angalizo sitafuti mchepuko)

Maximum kukaa ukweni ni siku tatu kama kuna msiba wa karibu sana. Kusalimia.... nikifika leo keshokutwa mapema sana kabla jogoo hajawika mi huyoooo nshasepa zangu. Wife tutakutana mbele ya safari au jijini Daslam

Mpaka sasa sijajua kwanini....

Niliambiwa 'ny kiwicho' kulala kwa wakwe!
 
Ny kiwicho kabsa mangi....

unajua kweli kabisa baba yangu hajawahi HAJaWAHI kulala kwa wakwe. hata mama alipofiwa na baba yake, baba alienda na kila jioni alirudi mjini kulala. Ukimuuliza anasema ni kiwicho.

Since then sijawahi kulala kwa binti aisee..hata enzi za uhuni wangu (well, labda mara moja) ila nakubmukaga sana maneno ya baba!
 
Mdogo wangu... usije ukathubutu kulala ukweni. Utakuwa umejishushia heshima yako na mahari yako haitakuwa na thamani tena.

Ni kiwicho
 
Mwanaume utalalaje kwa wakwe!?

Uduwanzi kiwango cha lami!

Lala hoteli uwe unaenda asubuhi!

Ujinga ujinga tu!
 
Mdogo wangu... usije ukathubutu kulala ukweni. Utakuwa umejishushia heshima yako na mahari yako haitakuwa na thamani tena.

Ni kiwicho

Na wewe hutoi sababu..ila nimekusikia!

Na nimekuwa nikilitekeleza hilo hata sasa...
 
Uwe tu na pesa, pesa inampa mwanaume ma confidence. Ukimpata baba mkwe fresh atakuingiza kwenye programme zake. Wengine baada ya chai atafix bulb iliyoungua, kitasa kibovu, na baada ya lunch stakupeleka kwenye bar yao akuonyeshe kwa marafiki zake.

Ukiwa na busara na wewe utaangaliani vitu gani baba mkwe anahitaji ukifika mjini unamtafutia.

Maisha ni simple sana, tuna ya complicate wenyewe.
 
Mada fikirishi sana hii. Mimi nina miaka 16 ya ndoa na sijawahi kulala ukweni hata kwa siku moja. Sijawahi kukatazwa ila naamini sitakuwa na amani... Japo ukweni kuna chumba cha kulala wageni ... mimi huwa nalala lodge ya karibu.

Asubuhi nawahi kifungua kunywa... napiga stori kidogo then nasepa kitaa... mchana nakuja kugonga lunch na story nyingi then nasepa. Usiku nakuja kugonga dinner.... story nyingi sana then naenda zangu lodge kulala.... wife analala kwao. (Angalizo sitafuti mchepuko)

Maximum kukaa ukweni ni siku tatu kama kuna msiba wa karibu sana. Kusalimia.... nikifika leo keshokutwa mapema sana kabla jogoo hajawika mi huyoooo nshasepa zangu. Wife tutakutana mbele ya safari au jijini Daslam

Mpaka sasa sijajua kwanini....
Hubby mimi unataka nikae na wazazi wako miezi mitatu.
 
Ni kweli kutoka :20/12 - 7/01 ni parefu. Baada ya Xmas unaweza kupigiwa simu unahitajika mahali haraka.
 
Kuna kaugumu fulani hivi, sie tukienda home tunashinda kwa mama ila kulala tunaenda kwa dada, hata mi sijui kwanini.
Umeita wanaume sorry nmekuja kumuwakilisha mwanaume wangu .
Yaani nyumbani kwenu unapaita "kwa mama"? Ama me sijaelewa vizuri?
 
Uwe tu na pesa, pesa inamaana mwanaume ma confidence. Ukimpata baba mkwe fresh stakuingiza kwenye programme zake. Wengine baada ya chai atafix bulb iliyoungua, kitandani kibovu, na baada ya lunch stakupeleka kwenye bar yao akuonyeshe kwa marafiki zake.

Ukiwa na busara na wewe utaangaliani vitu gani baba mkwe anahitaji ukifika mjini unamtafutia.

Maisha ni simple sana, tuna ya complicate wenyewe.
Asi wakumbuka nlivokuwa nacheza darts na babaako? Najua kabisa hapa namshinda ila kwa heshima nakubali kushindwa. Akilipia bill ya bia mi nalipia ya nyama choma ... na nyingine nabeba kuleta nyumbani. Ushasahau mke wangu?
 
Back
Top Bottom